mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,275
- 6,594
Kawaulize utumishi mkuu,Mimi hayo hayanihusu. Wewe kama una amini ipo endelea kuamini.Ss kama huamini database hao waliopangiwa polisi wamefnya lini usaili huko polisi?
Kawaulize utumishi mkuu,Mimi hayo hayanihusu. Wewe kama una amini ipo endelea kuamini.Ss kama huamini database hao waliopangiwa polisi wamefnya lini usaili huko polisi?
You are GrouchyYan utumishi Wana wapangia watu kazi kama wizar ya elimu inavyo wapangia shule za kwenda walio fauli la 7
Hakyanan ajira hazina maana Tena ,
Sidhani kama upo sahihi mkuu... ila ni muhimu kuendelea kushikilia unachokiaminiYan utumishi Wana wapangia watu kazi kama wizar ya elimu inavyo wapangia shule za kwenda walio fauli la 7
Hakyanan ajira hazina maana Tena ,
Kawaa mbie hivyo watoto wa wakulima masikini nasio Mzee,You are Grouchy
Sasa wewe mtoto wa tajiri badala ungekuwa Dubai unakula maisha upo hapa una hanikiza hanikiza vilio kwa utumishi ili iweje?Kawaa mbie hivyo watoto wa wakulima masikini nasio Mzee,
Kwa sababu wao Hawana Cha kupoteza , Wana buruzwa TU kama kondoo
Inapendeza mtu Mwenyewe kuchagua kitu unacho kipenda HAta akiwa kwenye majukumu anajituma kwa sababu hiyo kazi anaipenda toka moyoniSidhani kama upo sahihi mkuu... ila ni muhimu kuendelea kushikilia unachokiamini
Kwani ni lazima kwenda..kama hutaki si hauendi tu mzeeHii sio, na wala sio utaratibu unaofaa kumpangia post ambayo mtu hakuiyomba,
Patatokea malalamiko makubwa watu kupangiwa post ambayo HAta hakuiyomba,
HAta kama ni shida ya ajira ndio uka mtupe mtu kwenye Kazi ambayo hakuitarajia.
Psrs mnatengeneza matatizo badala ya kupunguza yaliyopo
Ss kama wamekupangia kazi huitaki na hukwenda kuriport , watakubadilishia kazi nyingine?Kwani ni lazima kwenda..kama hutaki si hauendi tu mzee
Mkuu upo against sana sana, na isingekuwepo database ungesema pia hebu shukuru kwa yote na database unapangiwa kada yako labda taasisi tu tofauti, na hiyo imesaidia wengi kupunguza gharama baada ya kupata, usiwe na makasiriko kiasi hiko uko against sana una jambo lako wewe sio bure.Ss kama wamekupangia kazi huitaki na hukwenda kuriport , watakubadilishia kazi nyingine?
Huu ni udikteta uchwara
Inabidi tukubali tu tuwe wapole jobless ...Wanatanguliza watoto zao !!!ili Kupunguza Upepo Ukitoa watu wengi kwa wakati mmoja yatakuwepo Maneno kama wapo humo majina ya watu wasiofanya interview..Itakuwa ni database, sikuwahi kuona interview yao
Mm Sio kama nina negative attitude wazee, ilaMkuu upo against sana sana, na isingekuwepo database ungesema pia hebu shukuru kwa yote na database unapangiwa kada yako labda taasisi tu tofauti, na hiyo imesaidia wengi kupunguza gharama baada ya kupata, usiwe na makasiriko kiasi hiko uko against sana una jambo lako wewe sio bure.
Subiri placement tu km ulifanya oral wakati wako ukifika utapata usiwe mbinafsi sana. Unachoona hakikusaidii wewe, wapo wengine wanashukuru kimewasaidia hujioni ni wewe tu, ...
Hiyo nafasi nani anaichukia ?Kwani ni lazima kwenda..kama hutaki si hauendi tu mzee
Hiyo database nani ameiona au kuishuhudiaMkuu upo against sana sana, na isingekuwepo database ungesema pia hebu shukuru kwa yote na database unapangiwa kada yako labda taasisi tu tofauti, na hiyo imesaidia wengi kupunguza gharama baada ya kupata, usiwe na makasiriko kiasi hiko uko against sana una jambo lako wewe sio bure.
Subiri placement tu km ulifanya oral wakati wako ukifika utapata usiwe mbinafsi sana. Unachoona hakikusaidii wewe, wapo wengine wanashukuru kimewasaidia hujioni ni wewe tu, ...
Kwani TZ ni kubaya mpaka nikaishi kwenye jagwa?Sasa wewe mtoto wa tajiri badala ungekuwa Dubai unakula maisha upo hapa una hanikiza hanikiza vilio kwa utumishi ili iweje?
Watu wapo wengi mno...,Ni bandua bandika..easy tuuu..ule msururu mnapoingia written na wakafaulu ndio awo awo wata replaceHiyo nafasi nani anaichukia ?
Hiyo ni Data baseSs kama huamini database hao waliopangiwa polisi wamefnya lini usaili huko polisi?
Mbona kama unabadili Kauli ya Mh.Jenista Mhagama-Hajazungumza "Kama"...Nafasi imepatikaMfumo wa database mbona upo mda mrefu tu...wetu wengi hawakuelewa ile kauli ya database 1700+ ..ni kwamba watu watapangiwa nafasi za kazi kama ikitokea nafasi imepatikana/zimepatikana katika taasisi/ofisi husika ndio watakuwa wanachukua humo kwenye 1700+ lakini sio kwamba kuna pdf inakuja ya watu 1700+ ...
Pia tuwe na subira wakuu haya mambo ni bahati tu hakuna haja ya kutoa lawama na pia tujifunze kukubaliana na matokeo
Muombe Mungu akuoneshe chaka lako katika kutoboa maisha ... unaweza ukawa unalalamika kuhusu PSRS lakini kumbe huku sio chaka lako la kutoboa life.
Just do your best the rest muachie Sir God.
NB; sijalamba asali bado nasubiri placement pia ila nipo ready kwa matokeo yoyote yale na siwezi kutoa lawama kwa yoyote yule.
Mama Samia amejitahidi sana kutoa ajira pongezi sana kwa Raisi wetu. Nimeona watu wanatoa shuhuda humu za kulamba asali hongereni sana wakuu.
Vijana wasikilizwe wanataka Nini , nasio kuwapangia , utake usi take utaenda TU, huu ni udikteta uchwaraYou are Grouchy