HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kabisa ,tulikuwa tunaelekea kubaya sana , ni vile tu ajira zimeanza toka toka baada ya huyu maza ndio watu kidogo maumivu yanaanza kupungua baada ya watu kula viplacement na asali kidogo , la sivyo ,na hiyo effect mpaka sasa hivi inasumbua sana ,nyomi la jobless kulundikana kitaa, hata kuna muda huwa nadhani utumishi wanapata kazi nzito kufanya mchakato wa kuandaa majina ya wasahiliwa mpaka kukamilisha maana nyomi la majobless wanaoomba hizo kazi ni kubwa vibaya mno .

So hizo ni effects za huyo baba ubaya na hilo halikwepeki na halitaisha leo unless juhudi za makusudi zifanyike kunusuru hiyo hali maana kila mwaka maelfu wanazidi kutundikwa kitaa na kwa speed hii ya utumishi kazi ipo , watu watagraduate na kukaa miaka kadhaa bila ajira na wengine hawata pata ajira kamwe labda wapige mishe nyingine huko , ni feedback loop moja ya kiduwanzi sana imetengenezwa , na wala si mchezo ,
BaSi psrs ipunguziwe majukumu, kwa sababu Alie ianzisha ni Kwa ajili ja kubinya vijana wasipate mirija ya asalI.

Najua raisi wetu Samia hili ameliona na ameshaanza kulifanyia kazi
 
View attachment 2549411

Tukae humu.

Utumishi ni mwokozi wa watoto wa maskini wasio na connection ya mjomba pale TRA wala bamkubwa kule TCRA.

Kinachowabeba ni kua na nondo tu na kujiandaa vizuri na mtihani.

Saili zikirudi kwenye mashirika, kilio chake nyie acheni. Tujisahihishe penye mapungufu, hatuwezi kurudi tena Misri.
Kweli posho za psrs ni tamu sana,
 
Tangu mwendazake alete hili jina la watanzania masikini imekuwa kama turning point yao
Sera za kijinga hizi, Kwan nchi nzima hii Ina watu wasikini watupu.
Viongozi wengine baba hawajui Hawa kuongea mbele ya wananchi
 
NI kweli uncle 🙏, marks za oral interview Zina zengwe sana ,na Ndio maana mkeka wa database unachelewa
Mambo mengi tunaona na tunafanyia utafiti kimya kimya kuna taasisi tunafatilia sana majina ya kutwa kazini,hizo rafu zipo tu viwanjani sema kuna rafu technical kama ile ya kanzidata na kuna rafu za wazi ambazo hatuzion hadi turudi kwenye VAR za taasisi.

Tunasema hapa watoto wa masikini tunapata kazi ilihali majority wanapata kazi na tunawajua uwezo wao tangu tunasoma nao chuo then mtu anakuambia alipambana.

Kuna watu nilikuwa najua kabisa wakienda oral hawatoboi maana si tumefanya nao presentation tangu mwaka wa kwanza mpaka tunamaliza vyuo.leo wanalamba asali wengine wanaonekana wazembe hawajitumi.
Wakitaka kutoa lawama,wangekua wanatoa majibu mapema tu ya oral lkn kuambiwa baada ya oral napo mchakato,aaaaah sisi tunarudi kwenye VAR.

Mnaopata kazi fanyeni kazi kwa bidii na kujituma tu pamoja na kuwa tunajua mnapitia changamoto kwa ugeni wenu makazini na mnaonewa wivu japo hamsemi humu.sisi wengine tuendelee kupambana tu hadi tutakapobahatika kulamba asali.
 
Mambo mengi tunaona na tunafanyia utafiti kimya kimya kuna taasisi tunafatilia sana majina ya kutwa kazini,hizo rafu zipo tu viwanjani sema kuna rafu technical kama ile ya kanzidata na kuna rafu za wazi ambazo hatuzion hadi turudi kwenye VAR za taasisi.tunasema hapa watoto wa masikini tunapata kazi ilihali majority wanapata kazi na tunawajua uwezo wao tangu tunasoma nao chuo then mtu anakuambia alipambana.kuna watu nilikuwa najua kabisa wakienda oral hawatoboi maana si tumefanya nao presentation tangu mwaka wa kwanza mpaka tunamaliza vyuo.leo wanalamba asali wengine wanaonekana wazembe hawajitumi.
Wakitaka kutoa lawama,wangekua wanatoa majibu mapema tu ya oral lkn kuambiwa baada ya oral napo mchakato,aaaaah sisi tunarudi kwenye VAR.
Mnaopata kazi fanyeni kazi kwa bidii na kujituma tu pamoja na kuwa tunajua mnapitia changamoto kwa ugeni wenu makazini na mnaonewa wivu japo hamsemi humu.sisi wengine tuendelee kupambana tu hadi tutakapobahatika kulamba asali.
Rafu zipo mkuu hzkwepeki ndio maana longlongo nyingi...waweke wazi tokeo la oral kila mtu ajue
 
Malalamiko nchi yetu ni kila mtu anajivutia kwake,
Naamn hilo zaga la database likitoka wakulungwa tumelamba asali yaan hata hutosikia tena mara sijui utumishi ni jibu.

Mfano mzuri kuna wadau juzi kati humu walikuwa wanapiga kelele sana kuhusu utumishi na ucheleweshaji wa placement ila walivyolamba asali hata huwasikii tena wakipondea utumishi.

Kwa mfano wewe hapo mwanangu wa nguvu Blender likitoka zaga la database umelambaa taasisi nyeti unakunja mzigo wakutosha, utaendeleza na hilo sakata??
HAta kama nikipata buyu la asali,
Lazima nisema ukweli (psrs) ni jipu uchungu.

Inatakiwa ipunguziwe majukumu kwa sababu imeelemewa na kazi, inapelekea kufanya majukumu Yao kwa kiwango chini sana.
Na kusababisha malalamiko mengi toka kwa pande zote nchini za wanaosaka mirija ya asali
 
Ili ujue hao taasisi wenyewe washachoka kusubili watu wapya kazini kutoka utumishi i jinsi ambavyo unakuta ofisi nzima robo mpaka nusu ya wafanyakazi ni intern na ajira za mikataba,tembeleeni ofisi mbalimbali mtajionea na siku hizi mpaka halmashauri unakuta wa mikataba wamejaa,hii ni impact ya jiwe miaka sita kutoajili ilihali population inayohitaji service unakuwa kwa kasi sana(angalieni takwimu za sensa)na wanaohitaji kazi pia kuongezeka pasi na kuajiliwa,sekta binafsi zilikufa sana tu japo najua kuna wakina tomaso wao watasema tu acha utumishi ndio kimbilio,tunafanya tu ubinafsi kwani ni wangapi enzi za taasisi kuajili wametoka vijijini kwetu huko hawana connection na wana kazi nzuri??mbona wengi tu walikuwa wanapata kazi kupitia ubest students taasisi mbalimbali(hii iliweka ushindani hadi vyuo)maana ilikuwa unakuta wanafunzi karibu 10 wote wa ufaulu wa juu walikuwa wanalamba asali.
Leo mtu ameshiba ugali anasema eti utumishi imesaidia sana ilihali imeibua ugonjwa mpya wa sonona..utaratibu wa saili popote duniani hamna usaili wa kuchukua mwaka otherwise ajira imefutwa haipo(only Tanzania)imefika muda watu mpaka tunahisi wanamhujumu Mama.maana website yao nadhani ndio web ya serikali inayotembelewa sana currently.
Wote wanaosema bora ajira zirudi kwenye taasisi sio kuwa wana ndugu ila wanaona umuhimu wa mtu kujua position yake mapema ili kuumia aumie maisha yaendelee kuliko mtu anakuwa na matumaini mwaka mzima afu anakuta hayupo anaambiwa kuna kanzidata nayo anasubiti mwaka mzima then napo anakuta hayupo,mtu wa namna hii ni umeshampotezea muda na kuharibu mindset yake kwa asilimia kubwa.
Hili neno watoto wa masikini sisi ndio limetuchelewesha miaka sita nyuma kwa kupeana matumaini...hiko utumishi kwenyewe mm siamini kama kama mnavyodai fair ipo hata huko rafu zinachezwa sana tu kila mmoja anajua rafu anavyoicheza hadi alambe asali ila kamwe hawezi kukuambia atakuambia ni Mungu tu na kujiandaa.
Kwa hili ilipaswa tuungane wote tujue shida ni nini au marks za oral nazo ni mchakato unafanyika maana hii chelewa chelewa inaleta maswali.anayebisha aende akaangalie yale majina ya NAOT auditors then aende akaangalie majina ya staff wengi wa NAOT aje abishe kwa hoja sio kutetea tu vitu ambavyo hatujui.
binafsi siungi mkono point yako hapo unaposema utumishi itolewe jukumu la kuajiri na zipewe taasisi

mm npo najitolea kwenye hizi taasisi najua mbivu na mbichi za humu maboss wengi ni dhaifu japo sio wote haswa kwa mabinti hii ninaushuhuda nalo wadada kufika na barua kuomba intern na kuambiwa nenda jumatatu uje kazini

na mchizi akija anaambiwa nafasi haipo ila uzuri ni kwamba nafasi zikijaa kwa uwezo wa hiyo taasisi hata akija mrembo tena anakaziwa lkn kuna point umeona hapo kwa udhaifu wa baadhi ya maboss priority ya kuwachukua haiendani na competence

mm mwenyewe nliingia kwa mbinde sana nlikula msoto wa kufanya kazi bila malipo kama mwaka na nusu hivii

kusu kupata ajira wa ndan ya taasisi huwa wanapewa kipaumble ila husibweteke kuna watu nliwahi ona taasisi flan wanapigwa chin na wanakuja watu wapya
 
Anyway, mimi ninavyofaham.

TGHS D ana 1.2m.

Then TGHS E ndio hiyo 1.4m

IMG_5175.jpg
 
msaada tutani: ukitoka dar saa 05:30 (kumi na moja) asubuhi dodoma utafika saa ngapi??

natanguliza shukrani.
 
binafsi siungi mkono point yako hapo unaposema utumishi itolewe jukumu la kuajiri na zipewe taasisi

mm npo najitolea kwenye hizi taasisi najua mbivu na mbichi za humu maboss wengi ni dhaifu japo sio wote haswa kwa mabinti hii ninaushuhuda nalo wadada kufika na barua kuomba intern na kuambiwa nenda jumatatu uje kazini

na mchizi akija anaambiwa nafasi haipo ila uzuri ni kwamba nafasi zikijaa kwa uwezo wa hiyo taasisi hata akija mrembo tena anakaziwa lkn kuna point umeona hapo kwa udhaifu wa baadhi ya maboss priority ya kuwachukua haiendani na competence

mm mwenyewe nliingia kwa mbinde sana nlikula msoto wa kufanya kazi bila malipo kama mwaka na nusu hivii

kusu kupata ajira wa ndan ya taasisi huwa wanapewa kipaumble ila husibweteke kuna watu nliwahi ona taasisi flan wanapigwa chin na wanakuja watu wapya
What if saili ikafnyika chini ya taasisi kwa usimamizi wa hao utumishi kma ndo wanasimamia haki
 
binafsi siungi mkono point yako hapo unaposema utumishi itolewe jukumu la kuajiri na zipewe taasisi

mm npo najitolea kwenye hizi taasisi najua mbivu na mbichi za humu maboss wengi ni dhaifu japo sio wote haswa kwa mabinti hii ninaushuhuda nalo wadada kufika na barua kuomba intern na kuambiwa nenda jumatatu uje kazini

na mchizi akija anaambiwa nafasi haipo ila uzuri ni kwamba nafasi zikijaa kwa uwezo wa hiyo taasisi hata akija mrembo tena anakaziwa lkn kuna point umeona hapo kwa udhaifu wa baadhi ya maboss priority ya kuwachukua haiendani na competence

mm mwenyewe nliingia kwa mbinde sana nlikula msoto wa kufanya kazi bila malipo kama mwaka na nusu hivii

kusu kupata ajira wa ndan ya taasisi huwa wanapewa kipaumble ila husibweteke kuna watu nliwahi ona taasisi flan wanapigwa chin na wanakuja watu wapya
Hao jama wamepewa rungu kubwa wanalitumia vbya ndio maana mallmiko mengi waache ukiritimba waongeze nguvu kz...kwanza hata mitihani yao ina mapungfu mengi
 
Back
Top Bottom