Black255
Senior Member
- Feb 19, 2015
- 181
- 372
😅😅😅😅Mwntion aina tatu za weledi [emoji23]
😅😅😅😅Mwntion aina tatu za weledi [emoji23]
Wanajitahi kiasi fulani kutenda haki tofauti na kipindi cha zamani ....ila kwenye kuita saili za oral natafakari sana Unahuitaji watu 180 unaita watu 700...Hii imeaje hapa watu lazima wajenge maswali uwiano haupoItoshe kusema sekretarieti ya utumishi inatimiza majukumu yake kwa weledi na ustadi wa hali ya juu[emoji4]
Wengine si wanabaki kwenye kanzi dataWanajitahi kiasi fulani kutenda haki tofauti na kipindi cha zamani ....ila kwenye kuita saili za oral natafakari sana Unahuitaji watu 180 unaita watu 700...Hii imeaje hapa watu lazima wajenge maswali uwiano haupo
Kilichobaki n maombi tu Mungu atusaidie ktk hili.Aisee! Pole sana,tuombe mambo yawe mazuri huko kwenye PDF [emoji1787],ikiwezekana Kila aliyefikia hii oral ya MDAs na LGAs apate kazi.Binafsi Nina disability ya kusikia na miguu [emoji91],sijui kama PSRS watanikumbuka[emoji24][emoji24][emoji24]
Ntakupa mifano miwili, kwa waliofanya oral HESLB, Loan officer II,Hivyo ni namna unavyoona wewe na vile ni namna ninavyoona mimi kila mtu yupo sahihi katika angle yake.
Lakini maswali yawe ni kupima mtu katika position yake anakwenda kuadd value gani "result oriented" la sivyo tutakuwa tuna mark time.
hapa wanajenga mwanya wa rushwa ...wangefanya nafasi moja inapiganiwa na watu wawil!!!Wengine si wanabaki kwenye kanzi data
Interview mpaka uwe na marking scheme ni interview hiyo? au test? Alafu unasoma kabisa ati 'mensheni fivu taips of ' unaangalia kwenye karatasiNtakupa mifano miwili, kwa waliofanya oral HESLB, Loan officer II,
Moja ya swali waliloulizwa, lilikua ni kwa namna gani watahakikisha wanazuia migomo vyuoni toka kwa wanufaika wa mikopo.
T.M.O Waliulizwa, nini mamlaka ifanye kuhakikisha kuwa kodi inakusanywa to the maximu?
Huoni hizi ni aina ya result oriented qn?
Hapa ndo kuna changamotohapa wanajenga mwanya wa rushwa ...wangefanya nafasi moja inapiganiwa na watu wawil!!!
Ukiona watu wanakuja na concern kuhusu ORAL za utumishi ujue kuna jambo. UTUMISHI sio wabaya hapana ila kuna vitu vinatakiwa kubadilika na kubwa ni hilo mfumo wa maswali ya kuwauliza candidates.Ntakupa mifano miwili, kwa waliofanya oral HESLB, Loan officer II,
Moja ya swali waliloulizwa, lilikua ni kwa namna gani watahakikisha wanazuia migomo vyuoni toka kwa wanufaika wa mikopo.
T.M.O Waliulizwa, nini mamlaka ifanye kuhakikisha kuwa kodi inakusanywa to the maximu?
Huoni hizi ni aina ya result oriented qn?
Kwani maswali wanayotoa PSRS , hayapo objective?Ukiona watu wanakuja na concern kuhusu ORAL za utumishi ujue kuna jambo. UTUMISHI sio wabaya hapana ila kuna vitu vinatakiwa kubadilika na kubwa ni hilo mfumo wa maswali ya kuwauliza candidates.
Maswali yanayopima how generally you understand your job ni muhimu sana sababu ndio kazi yenyewe.
Anataka utumishi waanze kiuliza,Kwani maswali wanayotoa PSRS , hayapo objective?
🤣🤣🤣🤣🤣 lazima watu wachoke hakuna anaetamani kukutana na ile panel, ila maswali yangekuwa ayo ya subjective nani angeogopa saili za PSRS but pia wawo ingekua mtiani kutoa grade nani apate nani akose maswali yapo subjective.Anataka utumishi waanze kiuliza,
-tell us what do you know about this Institution/corporate.
-tell us about your weaknesses and strenghts
Na maswali mengine kama hayo, amechoka maswali ya ku-mention hata kama yako objective.
interview kuwa ngumu ina maana gani mzeeMkuu, with all due respect. Interviews za UTUMISHI inabidi zipewe heshima yake....Unaweza ona mtu amekariri tu lakini katika manotes yote na mambo yote, kile kitendo cha kuyajua majibu sahihi tu tayari ni ushindi.
Jambo lingine, MDA & LGA ndio ilikuwa Oral yangu ya kwanza (Naamini nitafaulu kwa uwezo wa Mungu), nimeshafanya Interviews za Oral 3 katika maisha yangu yote...Mbili za private sector na hii moja ya PSRS...
Sikufichi, hakuna interview ngumu kwangu kuwahi kutokea kama hii ya PSRS kwa sababu pale maswali ni Objective sio subjective.....Unakuwa huelewi anauliza wapi au atatoa wapi.
Ila leta interview ya NGO hata ukiniambia kesho naenda kufanya na sitakuwa na hofu yoyote ile maana maswali yao mengi ni common na yanakuwa general. Kikubwa ni reasoning, confidence na flow.
Ila huku PSRS tunaipuuza tu lakini inabidi iheshimiwe.
Hiyo TMO ya mwaka gani?Ntakupa mifano miwili, kwa waliofanya oral HESLB, Loan officer II,
Moja ya swali waliloulizwa, lilikua ni kwa namna gani watahakikisha wanazuia migomo vyuoni toka kwa wanufaika wa mikopo.
T.M.O Waliulizwa, nini mamlaka ifanye kuhakikisha kuwa kodi inakusanywa to the maximu?
Huoni hizi ni aina ya result oriented qn?
Hiyo pdf iliyotoka hapo valentine dayHiyo TMO ya mwaka gani?
Swala ni moja tu waulize Maswali ya ORAL interview.Anataka utumishi waanze kiuliza,
-tell us what do you know about this Institution/corporate.
-tell us about your weaknesses and strenghts
Na maswali mengine kama hayo, amechoka maswali ya ku-mention hata kama yako objective.
Interview should be subjective in natureKwani maswali wanayotoa PSRS , hayapo objective?
Kumbe interview ile kila panel ilikuwa na maswali yake?Hiyo pdf iliyotoka hapo valentine day