HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Na mimi nimeingia chamani, wakati wa Mungu ni sahihi sana! Nilienda oral kimazabe zabe maana written sikujipa hata chance ya kutoboa! Niliunga unga usafiri kurudi Dom maana nilisharudi Dsm kuendelea na udalali tu!Naliona jina langu kwenye Tume ya madini siamini amini! Miujiza ipo
Kama unasema ukweli, nakupa ongera mkuu, usiwe kama psrs posho zao wanatumia kununu Malaya
 
We jamaa acha ujinga. Mbona unakuwa msomi mpuuzi hivi. Humu ndani tupo vijana Wasomi ongea vitu vyenye busara basi.

Kaa vizuri na wenzako wakupe mbinu za kufaulu, sio kukaa kuwalalamikia PSRS ilhali unakaa mitandaoni humu unaanza kuandika Upuuzi ambao haukuongezei Chochote. Baadhi ya Vijana wa Kitanzania Shida sana ikiwemo wewe.

Una ujinga mwingi Mzee. Wanaume hatupo hivyo!
Kama unasema ukweli, nakupa ongera mkuu, usiwe kama psrs posho zao wanatumia kununu Malaya
 
Haya yote mmeyataka nyie , mmeokotwa huko jalalani mnakujama mjini mnajifanya nyonyo,
Mnafikiri SS hatuwaoni ,
Tena msiniletee mdomo we dogo , Nitawafumua mtakaa muamini Yan
We jamaa acha ujinga.Mbona unakuwa msomi mpuuzi hivi.Humu ndani tupo vijana Wasomi ongea vitu vyenye busara basi.
Kaa vizuri na wenzako wakupe mbinu za kufaulu,sio kukaa kuwalalamikia PSRS ilhali unakaa mitandaoni humu unaanza kuandika Upuuzi ambao haukuongezei Chochote,Baadhi ya Vijana wa Kitanzania Shida sana ikiwemo wewe.
Una ujinga mwingi Mzee.Wanaume hatupo hivyo!!!!!
 
Hayo ni mambo binafsi, usiwapangie matumizi au wewe ulitaka wanunue nini au wakupe nauli kila unapoenda kukandwa, sio poa kabisa kumpangia mtu cha kufanya au kutumia kipato chake
Mnakaa apa mnawaambia watumishi wawe wema,Nyie mkisha pewa posho ikifika usiku, Basi ni laana.

ÑgoJea tutawakamata tu
 
Na mimi nimeingia chamani, wakati wa Mungu ni sahihi sana! Nilienda oral kimazabe zabe maana written sikujipa hata chance ya kutoboa! Niliunga unga usafiri kurudi Dom maana nilisharudi Dsm kuendelea na udalali tu!Naliona jina langu kwenye Tume ya madini siamini amini! Miujiza ipo
Hongera ila bro naomba nikuulize swali, ktk maswal ya oral je yote uliyajbu au kuna ambayo hukujbu kabisa..? na oral mlikuwa kama wangap
 
Hongera ila bro naomba nikuulize swali, ktk maswal ya oral je yote uliyajbu au kuna ambayo hukujbu kabisa..? na oral mlikuwa kama wangap
Tuliofaulu kwenda oral, tulikua 19. Sijajua kama wote walifika ama vipi, binafsi kwenye kuingia chumba cha usahili wa mahojiano niliingia mtu wa 5! Swali la kwanza tu la tell us about urself sikumaliza hadi mwisho, nilikatishwa wakaenda next question..maswali mengine niliyajibu fasta na kifupi sana…nimetoka kwenye oral najiona mjinga mjinga flani nimechoma nauli…
 
oooh sawa sawa Kaka.. hapo nimekuelewa
 
Back
Top Bottom