HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
SAWA

Binafsi naamini Kwenye 'standard Interview questions' ili kupima Knowledge, Skills na abilities ya kila candidate. Nikisema 'Standard interview' ninamaanisha mfanano wa interview zinazofanyika duniani kote, Mashirika ya ndani na nje, na makampuni mbalimbali.
 
Nakuelewa sana poti, hili zoezi la usahili wangefanya ma hr sio mtu katoka huko hajui hata psychology ya candidate naye ni interviewer hii si sawa ukisha muuliza mtu written professional questions kilichobakia ni kuwa na series ya questions ambazo ni more brainstorming kumjua mtu kiundani, lakini mention this and that hapana aisee [emoji28]
Safi sana umeelewa vizuri sana Ahsante pia kwa kujazia
 
Nakuelewa sana poti, hili zoezi la usahili wangefanya ma hr sio mtu katoka huko hajui hata psychology ya candidate naye ni interviewer hii si sawa ukisha muuliza mtu written professional questions kilichobakia ni kuwa na series ya questions ambazo ni more brainstorming kumjua mtu kiundani, lakini mention this and that hapana aisee [emoji28]
Mkuu unataka waulize maswali ya kukujua katika oral? Muhimu ni kuuliza maswali yanoweza kutoa uelewa wa kazi aliyoomba msaliliwa.

Ukitafakari kwa undani, saili za utumishi ziko standard, na zime cover eneo lote linaloweza pima uwezo wa msailiwa katika kutimiza majukumu yake kulingana na kada husika.
 
Hivyo ni namna unavyoona wewe na vile ni namna ninavyoona mimi kila mtu yupo sahihi katika angle yake.

Lakini maswali yawe ni kupima mtu katika position yake anakwenda kuadd value gani "result oriented" la sivyo tutakuwa tuna mark time.
 
MBona wa upande wetu maswala ya explain how ..... ni mengi kuliko hizo mention au sisi hao PSRS wanatuonea
Nakuelewa sana poti, hili zoezi la usahili wangefanya ma hr sio mtu katoka huko hajui hata psychology ya candidate naye ni interviewer hii si sawa ukisha muuliza mtu written professional questions kilichobakia ni kuwa na series ya questions ambazo ni more brainstorming kumjua mtu kiundani, lakini mention this and that hapana aisee [emoji28]
 
MBona wa upande wetu maswala ya explain how ..... ni mengi kuliko hizo mention au sisi hao PSRS wanatuonea
Ata mm nilikutana na maswali 2 ya class pure, lakin mawili mengine yaliitaji uwe vizuri ku change materials ya darasani jinsi yatakavo tumika kwenye area uliomba kazi, na huwez kutoboa kama haupo fresh kichwani, utumish wapo vizur thatz y sometimes ata anaeongoza class akakosa kazi na ww ukapata japo kuwa wana base na maswali ya class.
 
Itoshe kusema sekretarieti ya utumishi inatimiza majukumu yake kwa weledi na ustadi wa hali ya juu😊
 
Itoshe kusema sekretarieti ya utumishi inatimiza majukumu yake kwa weledi na ustadi wa hali ya juu[emoji4]

Sema ndoto zako ziwe hapa hapa +255 ukienda na mentality hii kwa foreigners hutoboi wao hawapo interested sana na ma grade yako wanachotaka what will you offer.

Na ukumbuke ndio hao tunaoenda kuwakopa ili maisha yaende [emoji3]
 
Back
Top Bottom