Recent content by bizzare

  1. B

    Mkuu wa Wilaya anaishi nyumba ya milioni 8 kwa mwezi.

    Alibaka dada flani wakati akisoma Mzumbe yule dada aliogopa kumshtaki,alafu alidisco mwaka wa kwanza akarudi kwa chambo ya siasa
  2. B

    Ametoa mimba nashindwa kumwacha

    hiyo mimba haikuwa yako na alikulazimisha mfanye kwa sabb tayari alikuwa na guy mwingine wa chuo wanayepeana piga chini
  3. B

    Tanzania tumeingiliwa, kuna magaidi kutoka nje ya nchi

    Hiyo habari hapa Mwanza ilisikika sana 2011 na kweli sura za ajabu ajabu zilikuwa zinaonekana mjini as town ni rahisi kufahamu mgeni
  4. B

    Wawili wauawa Arusha

    Utasusutwa mtoto wa kiumeni aliyekufa ni mfanyakazi wake alikuwa anapeleka pesa benk.mmezidi majungu na umbea some of men here.hamna kazi?pu..vu utatangulia wewe kabla yake
  5. B

    Usicheze na damu ya mtu! Kazi ya kuwapata wauaji wa Kamanda Barlow yawa rahisi kuliko ...........

    Kumbe ukisomeshwa na kodi za wazazihutakiwi kufanya dhambi?kumbe we huna dhambi ndo mana bado hujapata mshara?asiye na dhambi awe wa kwanza.....
  6. B

    Usicheze na damu ya mtu! Kazi ya kuwapata wauaji wa Kamanda Barlow yawa rahisi kuliko ...........

    No research.......ya fsmilia ya kamanda hujajui yaache
  7. B

    Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    mzee Mwanakijiji hi mafia wa tanzania sijawahi kuiona nimetamani kujua kiliandikwa nini nitaipataje?
  8. B

    Kusoma fani tofauti.

    Jikite kwenye Fm soko lako litakuwa kubwa hata ukisoma pgd na msc ya fm ni poa sana kwa degree yako hachana na MBA haitakusidia lolote
  9. B

    Matapeli wa mapenzi humu JF

    Just wait and see si tunaishi?
  10. B

    Matapeli wa mapenzi humu JF

    Halafu soma elewa ndo uandike nani kalamu jf/nitahadharisha watu we unaongea kulaumu?kumbe aliyekuvisha pete umemtoa humu?bora huyo dadangu aliyetapeliwa pesa si inatafutwa tu?utakachotapeliwa wewe ndo utajua kutapeliwa hakuna mwenyewe
  11. B

    Matapeli wa mapenzi humu JF

    subiri na we huyo alikuvisha pete akuache ndo utajua kosa la nani
  12. B

    Matapeli wa mapenzi humu JF

    inaonekana we ndio muhusika dawa yako tunaichemsha
  13. B

    Ukorofi wa mchina: Samsang yawalipa apple $ billion 1 kwa kupeleka malori 30 yenye sarafu za senti 5

    Tena wewe nakupa kadi nekundu kabisa unajua kwamba samsung kamwe haiwezi kuitwa samsang?read between the line usikurupuke
  14. B

    Matapeli wa mapenzi humu JF

    Jamni alichoandika huyu jamaa ni cha kweli mwaka janaa mwezi wa sita dada yangu alitapeliwa na kijana aliyemkuta humu sh milioni mbili bahati nzuri to cut it short jamaa alijitia nafanya kazi tume ya mipango viwanja vinatolewa sister ampe pesa akampa 2m mnajua tena watoto wa kike sasa sisiter...
  15. B

    Aibiwa fedha zote kwenye akaunti kwa NBC MasterCard kupitia ATM

    Always CRDB is it coincedence?there is a game around amkeni Wabongo jamani tunapenda sana kuchukulia vitu easy
Back
Top Bottom