Kusoma fani tofauti.

Jikite kwenye Fm soko lako litakuwa kubwa hata ukisoma pgd na msc ya fm ni poa sana kwa degree yako hachana na MBA haitakusidia lolote
 
kusoma tena PG ya CS ni kulundika vyeti visivyo na maana mbeleni, CS unahitaji 1st degree tu hayo mengine unajiendeleza kwa online tutorials. Soma business ulingo ni mpana sana
CS ni uwanja wa coding zaidi lakini inaonesha hupendi code.. kama unapenda code go for software engineering itakutoa sana.
 
CS ni uwanja wa coding zaidi lakini inaonesha hupendi code.. kama unapenda code go for software engineering itakutoa sana.

mkuu we don't need academic certificates.. CS is too wide, we need someone who is monster in specific area either java, MS visual*, networking or specific DB
 
mkuu we don't need academic certificates.. CS is too wide, we need someone who is monster in specific area either java, MS visual*, networking or specific DB
I hope you are with me all those are languages that a CS monster must know but mostly should be not afraid coding in a specific or some languages. He/she must differ with someone doing information technology as they are mostly based on application side rather than development.
 
Back
Top Bottom