Recent content by Bijang

  1. Bijang

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hapana huwezi, ukiwa unaomba hiyo TAASISI ya pili,itakwambia you have another request
  2. Bijang

    JamiiForums Tanzania Gharama ya usafiri kupitia ATCL kuanzia KIA mpaka Dar ni laki 8+ haya ni maajabu

    Hapo bado mbona,njoo kwenye report ya CAG utachoka
  3. Bijang

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

    YBWYB Hali nibmbaya Linda mgongo wako,ndugu msomaji
  4. Bijang

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwamba wakala ni winga 😂
  5. Bijang

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Yangu ina wiki ya pili IPO kimya haijaenda automatically
  6. Bijang

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hivi kama mtu aliomba halmashauri X nafasi ikawa IPO (accepted) lkn, kuinishieti mchakato I aandika designation not found shida nini
  7. Bijang

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ingependeza Sana, kama VP tuanzishe uwe admin
  8. Bijang

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

    Nashindwa KUA-LEWA PhD kamzidi VP
  9. Bijang

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

    Samaki anaekula samaki wenzake hawezi kukua
  10. Bijang

    JamiiForums Tanzania Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

    Kelele nyingi, we tupe dawa/mtaalam wako
  11. Bijang

    JamiiForums Tanzania Kero: Messages za mikopo kutoka taasisi za mikopo

    Halotel mukuje
  12. Bijang

    JamiiForums Tanzania Kero: Messages za mikopo kutoka taasisi za mikopo

    Habari wakuu, Kumekuwa na kero kubwa ya SMS (ujumbe mfupi WA maneno) kutoka kwa hizi taasisi za mikopo, kama Bayport, Fanikiwa, Platinum n.k Yaani kila siku iendayo Kwa Mungu iikifika saa nne asubuhi lazima nipokee sms, yaan nishaweka akilini ikifika hiyo muda lazima nipokee sms, tena number...
  13. Bijang

    JamiiForums Tanzania Gawio la mitandao ya simu ni kero tupu

    Habari zenu Wanabodi? Natumai mpo vizuri, Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa napata Tsh 76, na hizi Tsh 200. SASA hoja yangu hapa, ni kuwa hii fedha haisadii kwa lolote kwangu...
Back
Top Bottom