Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,312
- 28,487
Wasukuma watu peace sana na wakikupenda utajua. Ni kama watu wa mbeya, ukiachana na kiburi cha asili, ni watu real sanaUkigombana na msukuma wewe ndio unashida.
Wasukuma watu peace sana na wakikupenda utajua. Ni kama watu wa mbeya, ukiachana na kiburi cha asili, ni watu real sanaUkigombana na msukuma wewe ndio unashida.
wasukuma wa wapi?.Mwanza,shinyanga,geita,tabora,sengerema.Au wa mjini na walipo mikoa sio usukumaniWatoto wakisukuma warembo sana.wanasaut nzur sana na wanasifiwa sana kwenye upambanaji.ila sijui labd nyie mnip sifa zao.
Uongo hamna watu wasomi kama wasukuma kwan hayat asiyeametokea hukSlow learners
Jichanganye,njoo huku vijijini wanaume wanakimbia Kaya zao wanaogopa kuuawaKweli aisee, haya majamaa yako powa Sana. Utakuta yanakula mahindi asubuhi na kuongea kwa sauti bila shida.
Kuoa msukuma utaishi maisha marefu Sana.
Kam unachepuka utaachaj kuwawaJichanganye,njoo huku vijijini wanaume wanakimbia Kaya zao wanaogopa kuuawa
Mwanzawasukuma wa wapi?.Mwanza,shinyanga,geita,tabora,sengerema.Au wa mjini na walipo mikoa sio usukumani
Mwanza hipi maana mwanza imegawanyika.Usije kuwa mwanza mjiniMwanza
Wasukuma ni watani wangu ila wanavyo pika unaweza kusema ni shule ya bweni wakati ni watu wanne.Wanasonga ugali mkubwa kisha wanasonga kaugali kadogo ambako ndio kanatumika kama mboga.
Tayari huko , walete kati View attachment 3611593

Wanasema wal chakul ya wagonjwa kwao ugal dagaa kwenda kwa mbelWasukuma ni watani wangu ila wanavyo pika unaweza kusema ni shule ya bweni wakati ni watu wanne.
Wasukuma upate wa kijijini ndani ndani hawa waliochangamkaa .Utapishana naoWanasema wal chakul ya wagonjwa kwao ugal dagaa kwenda kwa mbel