Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

Mwaka 2022! Nilisafiri kwenda Lindi kikazi. Katika ile project tulikuwa tunazunguka wilayani na kwenye vijiji ndani ndani huko.

Nilikuja kufika sehemu Ruangwa kuna vijiji tulienda huko ardhi ni bei ya kutupwa.

Ekari inauzwa elf 10 hapa kama unanunua serikali ya kijiji (ukitaka nyingi)
Kama unataka chache moja au mbili wananchi wanauza elf20

Kweli Tanzania bado ardhi nyingi!
Mwika Kilimanjaro kuna ardhi inapatikana kwa bei ya kutupwa.
 
Kuna watu humu wanakaa kwa waume wa dada zao wanakuambia pwani heka ni lak1

Ndo shemej zenu wanavyowadanganya au?

Mtu hujawah miliki hata lak3 ya pamoja unasema viwanja pwani et lak 1

Mambo ya ajabu ni meng sana
 
Kwanini Kisarawe haiendelei? Wilaya zote za Pwani zinakuwa kwa kasi kasoro Kisarawe! Kulikoni?
Kisarawe ni miongoni mwa Wilaya kongwe hapa nchini, tangia enzi za Utawala wa Muingereza.

Tatizo sijui liko wapi kwakweli. Ukifika Kisarawe centre pale utakutana na mji uliojichokea.

Kunahitajika juhudi za makusudi kutangaza fursa zake

K
 
Anakuchosha,kisarawe hakuna ardhi ya laki 1.
Wacha kukaza fuvu njoo ofisin ya kijiji Manerumango muone mtendaji .
Utapewa pori lako la hekari 50 kwa milioni Tano tu. Joanah ardhi Ina rutuba dongo jeusiii mazao yote ya horticulture na cerial yanafanya vizuri sana

Kuna changamoto kidogo za ngedere
 
Ngoja nikapigie simu ka Petero nisikie kanasemaje?
 
kwa 300,000 unaweza kupata pori lililopimwa

Wacha kukaza fuvu njoo ofisin ya kijiji Manerumango muone mtendaji .
Utapewa pori lako la hekari 50 kwa milioni Tano tu. Joanah ardhi Ina rutuba dongo jeusiii mazao yote ya horticulture na cerial yanafanya vizuri sana

Kuna changamoto kidogo za ngedere
Ngedere sio changamoto ndogo Mkuu.
 
Mwaka 2022! Nilisafiri kwenda Lindi kikazi. Katika ile project tulikuwa tunazunguka wilayani na kwenye vijiji ndani ndani huko.

Nilikuja kufika sehemu Ruangwa kuna vijiji tulienda huko ardhi ni bei ya kutupwa.

Ekari inauzwa elf 10 hapa kama unanunua serikali ya kijiji (ukitaka nyingi)
Kama unataka chache moja au mbili wananchi wanauza elf20

Kweli Tanzania bado ardhi nyingi!
Mwanza
 
Back
Top Bottom