Omba mungu ajira zitoke ili lile kundi kubwa la vijana lililopo makambini lipatate ajira vijana wapungue coz kuna watu wana miaka 3 bado hawajapata ajira, PAMBANA NA HALI YAKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza ikawa kweli maana muda huu Nipo hapa mbezi nimeona magari mawili ya jeshi moja LA waz na lingine bus kubwa yamebeba vijana wakike na wakiume wanatokea njia ya morogoro wanaelekea town
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.