Nazan pale pande za ilala boma hali ya hewa si shwari joto limepanda sana +mtero nazan tuwape mda makamanda watakuja na habari timamu badae wakimaliza shuli pevu ya siku ya leoMakamanda mlio kwenye usaili Dsm mbna hatupati mrejesho, mkuu Makanyajr tupe feedback
oooh Ila nadhani wapo kwenye hatua za Mwisho kabisa
Duh.. Mmeambiwa azweeeeah auTayari kigoma tumemaliza jana nasi tunasubiri kuitwa
Hahaaaaaa hatari Tupu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha nakumbuka mwaka jana nilikatwa jina hatua za awali sana kisa sina cheti cha shahada pale ilala mshaur alikua mwanamke flan ivi anavaa hijab,ndoto zetu zilizimwa kama taa nikiwa na makamanda kama 300+ tukiondoka bila kujua future zetu
Kwann hukutumia cha Six mkuuHa ha ha nakumbuka mwaka jana nilikatwa jina hatua za awali sana kisa sina cheti cha shahada pale ilala mshaur alikua mwanamke flan ivi anavaa hijab,ndoto zetu zilizimwa kama taa nikiwa na makamanda kama 300+ tukiondoka bila kujua future zetu
Mmepewa mrejesho gani, Kambini lini??Tayari kigoma tumemaliza jana nasi tunasubiri kuitwa
Makamanda mlio kwenye usaili Dsm mbna hatupati mrejesho, mkuu Makanyajr tupe feedback
Safi sanaaa ...wala hujakosea Mimi nilikua 823KJ na nilikua pale Mwanza ...washkaji wangu wengi waliopelekwa 824 na 825 walipokelewa na mpaka sasa hawajakabidhi hata sim so tunawasiliana... Wameambiwa watakua wanafanya Kazi ndogondogo huku wanawasubili wenzao tarehe 1/7/2016Wazalendo walipangiwa 822 kutkaa kanda ya ziwa walfanikiwa kuingia kambini kwao rwamkoma bila wasi kwa sababu waliwahi kuondoka (kabla ya oda ya aziwea kutoka mmjkt) ila wazalendo wa 823 824 na 825 wakiwa wamekusanywa mwanza transit camp kutoka mikoa yao(mwanza geita mara na kagera) wakijiandaa kupanda mabasi kuelekea vkosin gafla ikaja oda kutoka makao makuu vjna wote waliopo pale warudishwe mikoani kwao wasubiri maelekezo mengine. Ikumbukwe oda haikuafekt 822 kwa kua walikua washapokelewa kikosin kwao na wako kikosin mpka sasa
Kagera tulimaliza kitambo sanaaaa na waliopangiwa 824 na 825 wapo kambini toka j4Hao wa dsm na kagera ndo wanachelewesha mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Makanya Jr. nadhani alishakatwa kibangala mapema maana alikua na spidi ya hatari naona siku hizi anakuja kwa machale kama kurutu mjongomeaji anavyosogea usawa wa kombania mida ya saa kasoro
Ngoja tumsubirie makanya Jr aje na taarifa za ushindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee Makanyajr tupe ripoti, au wazee wa kazi washafanya yao kaka[emoji2]Ngoja tumsubirie makanya Jr aje na taarifa za ushindi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makanya bado hajamaliza vipimo Leo ndio wanamaliza vipimo kwa darMzee Makanyajr tupe ripoti, au wazee wa kazi washafanya yao kaka[emoji2]
Nathan atakuja punde makanya Jr..Makanya bado hajamaliza vipimo Leo ndio wanamaliza vipimo kwa dar