kwa taarifa yako walishafanya usaili wanasubiri kwenda kozi tuPia Ni Muhimu Kupeana Taarifa JWTZ hawajachukua bado waliomaliza Mwaka jana Bado wapo kwenye Kambi za Malezi.
jamani wanajamii mbona kimya sana, au mmeenda makambini?
jamani wanajamii mbona kimya sana, au mmeenda makambini?
Tutayaweza mambo yote ktk atutiae nguvu.MUNGU yupo atatupigania kwakua nia tumeonesha na yy ni shahid wa mioyo yetu.
mungu atawasaidia,basis mtatujuza hiyo keshoTunawaza kesho itakuwaje kwa sisi wa Dar ndio maana tupo kimyaa
Huu si shida sasa? Mateso yote hayo
Embu fafanua hapo Mkuu!Baba kanituma hahahaha hadi mwezi 8 daah bado nipo nipo sana kitaaa
tulia wewe lazima uende soon jeshi halina longolongo
Ndio maana lelemama awezHuu si shida sasa? Mateso yote hayo
Kweli mkuu na kime happen tayari..... Si tusharudishwa homehii serikali haieleweki mambo yake hayana uhakika ni ya kubabaisha babaisha,so hiyo tarehe haina guarantee anything can happen...!!
Mimi nahisi kuna mikoa mingini bado hawajamaliza ndo maana safar wamehairishaMakamanda hv kuripoti lini mana Jana ulibd tuingie 832kj ila jamaa wametoa biashar safari imesitishwa kwa Muda usiojulikana.. Au ndio mwaka tena