KoobFace
Member
- Jul 11, 2015
- 15
- 21
Lazima afe na mtuDah full kujaza upepo
Lazima afe na mtuDah full kujaza upepo
Hatuogopi bhana...kabla hatujafika huko tayari maisha yalishatufanya kuwa makomando!temu hii kuna vijana wengi wamemwagwa kutoka tpdf kwa hiyo mnaokuja hapa jiandaeni na fatiki za kufa mtu bakora kama kawaida mkifika tu ulizeni nani anaitwa pilato hapa mtanipata
Acha mikwara ya kipuuzi wewe afande gani anaji expouse kilof.a namna hiyo? ungekua karibu yangu ningekutia vibao na gwanda zako.temu hii kuna vijana wengi wamemwagwa kutoka tpdf kwa hiyo mnaokuja hapa jiandaeni na fatiki za kufa mtu bakora kama kawaida mkifika tu ulizeni nani anaitwa pilato hapa mtanipata
Hahaaaa itagomesha hiyo potmpo tayari kumwagiwa maji na bakora
Hatuogopi bhana...kabla hatujafika huko tayari maisha yalishatufanya kuwa makomando!
Namkumbuka pilato wa mafinga alikua mtaalamu wa kwata je ni wewe???temu hii kuna vijana wengi wamemwagwa kutoka tpdf kwa hiyo mnaokuja hapa jiandaeni na fatiki za kufa mtu bakora kama kawaida mkifika tu ulizeni nani anaitwa pilato hapa mtanipata
Ha ha tutakutafta kurutu tupo tayaretemu hii kuna vijana wengi wamemwagwa kutoka tpdf kwa hiyo mnaokuja hapa jiandaeni na fatiki za kufa mtu bakora kama kawaida mkifika tu ulizeni nani anaitwa pilato hapa mtanipata
Unajionyesha kabisa sio mwanajeshi maana uweledi huna sema tu labda ulienda JKT kwa mujibu wa sherianjoooni tu simnajifanya majeshi kunoga huku ndoo kuna dozi za kufa kenge
Anatutisha sie hayo madoso ndo tunayataka .fulu morali fulu kunyanyuaUnajionyesha kabisa sio mwanajeshi maana uwedi huna sema tu labda ulienda JKT kwa mujibu wa sheria mwaka
wewe mapovu jiweke wa mjini si unakuja utakaa sana chini tutakunyoa upara sanaUnajionyesha kabisa sio mwanajeshi maana uwedi huna sema tu labda ulienda JKT kwa mujibu wa sheria mwaka
Njoo misitu ya Beni huku uone kazi tunayofanyawewe mapovu jiweke wa mjini si unakuja utakaa sana chini tutakunyoa upara sana
Sina uhakika ila rafiki yangu mwaka jana aliingiaga kipindi ambacho wa mkoani washafika kambini ila Course walikuwa bado hawajaanza.Mm nlikosa nafac mkoani , hivi baba kanituma wanaingiaga baada ya muda gani wakishaingia WA mkoani? Waziiiii
Hhhahaahahah hizo azwea afandemtakaopangiwa 832kj mtanikuta andaeni nguvu za kufa mtu mtakunya damu
Huyo sio afande verified huyo havai bakabaka ni wale wanaovaa kama mgambo servicemen wanasifa sana kisa walilpiga depo basi wanawazingua kuruti.Acha mikwara ya kipuuzi wewe afande gani anaji expouse kilof.a namna hiyo? ungekua karibu yangu ningekutia vibao na gwanda zako.