Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Aleyn nae taarifa zake zinakuwaga nusu nusu anatoa taarifa ila haijitoshelezi. Ni bora awe anatulia tu ili apate taarifa kamili kuliko ku force vitu vinavyowatia watu pressure bila 7bu ya msingi.

Watu wameacha mambo yao mengi mpaka leo so kama una info yakueleweka ni better ukaitupia kama ilivyo watu wakaendelee kusaka miambili miatatu kuliko kusimamia mguu mmoja.
 
Hujakosea mkuu yaaan upo sahii
 
Tatizo humu kila mtu anaongea lake. .

Kila mtu anajuwa mipango ya MM jkt .

Kila anandugu Mjeshi au rafiki ambae ndiye chanzo chake cha habari.

Jamani hata ikiwa vijana mtaingia mwezi wa 9,zimebaki siku chache sana kama leo ni tarehe 15 basi zitakuwa zinebaki siku 46! Kitu ambacho mnatakiwa kujuwa ni kwamba kwenda jeshini ni lazima.
 
Sometimes hata baadhi ya wanajeshi wakubwa kuanzia Ltn-major hawajuw nini kinaendelea.
 
Naomba kuuliza mda wa kuomba nafasi za kujitolea jkt ushapita au bado? Na ka ushapita je kuna awamu nyingine tena?
 
Back
Top Bottom