Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Ilala Leo Safari ya Tatu Usaili wa Wilaya , Unakua Postponed , Ni Noma Sana.
Tulia kwanza Utaelewa tu.
 
Unaaminisha kaitwa mara mbili katika usaili mkoanina wizarani???

Huko wizarani ni wizara gani??
Ukimaliza na ukapita WA mkoani... Wale WA makao wanafuata kwa joins afya na ukaguzi WA vyeti,,,,,,,, hao Ndio wanaitwa wizara
 
Huwezi Kufanya usaili na form umeipata just free of charge then usiende au mi ndo sijakuelewa mkuu?
Mimi nina ushahidi wa jamaa flani ambae ni ndugu yangu alipewa form na akajaza pamoja na wadhamini ila hakwenda mafunzoni, alikataa mwenyewe.
 
wadau ebu msaidieni huyu jamaa yng...yeye anacho cheti cha chuo(academic certificate)lkn transcript hana ilipotea/haribika kipindi cha mafuriko ya mvua,na bahati mbya iyo transcript haikuwa na lamination...so kuna ulazima wowote ule wa kuambatanisha iyo trans.ikiwa cheti halali na vyengine vyote vya huku chini anavyo?
Shukrani
Asubiri mwakani au atumie fom six
 
Back
Top Bottom