Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

hahahaha MG 52.....wewe kamanda mzee wa mabiyo utatoboa tu maana kwako marudio ni yaleyaletu babu
 
M
Mm mwenyewe Nipo reserve ngoja nione nn kitanitokea
MkUu kama ipo ipo mana kunadogo kaulizwa law of magnetic kashindwa.. Akaambiwa aimbe nyimbo inayohit ya bongo flavour yoyote kashindwa.. Dah.. Hata kamata chini kaisahau.. Jamaa hawana upendeleo ila kama unatatizo vyeti tafuta affidavity inasaidia ila sio kwenye umri
 
umri sio tatizo sana,watu wanaenda tu.....sema uwe na mbuyu tu.
 
Back
Top Bottom