Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,827
- 17,452
Mkataba ni miaka miwili na ndani ya hiyo ndo chance zikitokea au opportunities ukiwemo na ukaomba kazi au ukafanya usaili na ukakidhi vikwazo ndo kwa heri unaenda ila jwtz ni fagio la chuma hawakuachiHii ya kambi kuanza 1/7 ina ukweli fulani
Kinachoniumiza mm je tukimaliza depo ajira itakuwepo au ndio tunajirudia home?