Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Makanya Jr kuweni makini hapo nahisi kuna harufu ya mchezo mchafu
 
Watu wana mishe zao ambazo zinaweza zikawajia ghafla wakaghairi mishe za JKT, Unaweza wewe ukaziona ni dili kubwa kumbe mwenzio akaona ni kawaida. Mioyo tumetofautiana.
Yeah Mkuu Ni Kweli.
But if it's for a dream au Necessity kama mi sichomoi mbele kwa mbele.
 
Asikukatishe tamaa haina shida original kipo kitamlinda
Awasiliane na Chuo chake alichosoma wakubaliane na DVCAA (Deputy Vice Chancellor for Academic Affairs) WA iko Chuo chenye alisoma aoneshe hyo Certificate na Transcript (USHAIDI) iliyokua ruined by rain Afu wamuwekee Order ya Transcript mpya ambazo zitatoka na Hawa Graduates WA mwaka huu so kwa mwakani atapata yake na yeye inatakiwa afanye hvo coz Transcripts na Academic Certificates za Colleges and universities nying hapa kwetu Hutengenezwa nchi za Nje ili kuepuka Forgery na michezo ya namna hyo .
But all these gonna be done Officially ( Kwa Maandishi).
 
Kwani ni lini kuliwahi kuwa na baba kantuma? Yaani wewe jamaa safari yenyewe ndio unaianza lakini unajifanya unajua sana kiasi cha kuanza kujipa cheo cha usemaji! Hivi ukihojiwa utoe ushahidi kwamba kulikuwa na "baba kantuma" unaweza kuthibitisha madai yako? Sijui ni ulimbukeni wako tu ukizingalia ndio mara yako ya kwanza kujaribu fursa? Punguza mdomo wewe, mbona wenzako wamekaa kimya tu, nina mashaka na uzalendo wako. Hebu tuambie JPM amesema nini kuhusiana na mchakato huo.
Ahsante Sana Mkuu.
 
kwani siku iz zile fomu za mtaani azipatikan ,, zile unatoa hela unagewa fomu huapitii ngaz za mkoa maana kuna jamaa zangu weng waliingia kwa dizain hyo mwaka jana

naomba mungu ziwepo mtaan me hata kwa laki7 niko tayar kununua maana kule wilayan jina lilikatwa mapemaa

me kuna sehemu nimetega jamaa kaniambia nisubili had mwez wa7 niandae na mpunga mrefu tu
Mkuu, weka akiba ya maneno aisee.. Daah.. Unaongea maneno makali sana, hivi wakikusaka wakikuambia tuambia hao rafiki zako wako wapi utafanyeje, au wakikubananisha utaje hiyo sehem uliyotega itakuwaje... Dah.. Guys tupunguze maneno mengine, kwa ajili ya usalama wetu.
 
Back
Top Bottom