kentony
Member
- Oct 14, 2016
- 30
- 23
ko kila mzalendo anaingia kivyake?Broo Kama hutaki sikulazimishi, ila kama ni mlengwa fahamu kuwa Moja December uwe kikosini!!!
ko kila mzalendo anaingia kivyake?Broo Kama hutaki sikulazimishi, ila kama ni mlengwa fahamu kuwa Moja December uwe kikosini!!!
Nimekupata mkuuBroo Kama hutaki sikulazimishi, ila kama ni mlengwa fahamu kuwa Moja December uwe kikosini!!!
Afande nyati nini tena unatupa preshaKilichokuwa kinasubiliwa kimeshatimia. Sasa kipyenga muda wowote... Kaa tayari afande weka soldier box attention.
Mguu upande, mguu sawa.
true true auNgoma imeiva Waziri Mwinyi Katangaza tuna report vikosini tarehe moja December
Yeah Man cheza na hio link niliyoshare hapo Juutrue true au
Presha wapi si umeona tayari iyo.Afande nyati nini tena unatupa presha
Umewekewa link hapo juu. Au simu yako haiingii youtube.JAMANI WAZALENDO. MSIDANGANYIKE MAMBO BADO WAKATI UKIFKA MTATANGAZIWA KUPITIA VYOMBO RASMI VYA HABARI
Yule anaetoa tamko hilo hapo kwnye video si waziri huyo.. au wwe huoni?JAMANI WAZALENDO. MSIDANGANYIKE MAMBO BADO WAKATI UKIFKA MTATANGAZIWA KUPITIA VYOMBO RASMI VYA HABARI
Muache Usimlazimishe, atakuja shtuka kwenye Uzi kabakia mwenyeweUmewekewa link hapo juu. Au simu yako haiingii youtube.
Pengine hamjui Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga TaifaYule anaetoa tamko hilo hapo kwnye video si waziri huyo.. au wwe huoni?
muache kuna watu watabisha hadi mwisho wa duniaPengine hamjui Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Tunamuachia Uzi aulindemuache kuna watu watabisha hadi mwisho wa dunia
ameenTunamuachia Uzi aulinde