Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,213
- 27,036
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waliondoka j3 na magari ya jeshi walifikahuko walikabidhi cm na kila kitu walichonacho na cm mpaka sasa zimezimwa.wanakula wima huko bila kukaa
Umenikumbusha mbali sana enzi zangu jkt
Naona watu wanahamu na jeshi balaa OK kule hamna mshahara kule wanataka wazalendo hasa .