Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

makamanda kuna tetesi kuwa walimu ndo wanaenda je kuna ukweli? wenye fununu mtujuze
 
Habari jamani munahabari gani.
Leo nilikuwa na kanali mmoja ivi tunapiga stori. Nikamuuuliza watachukuliwa lin vjana wengne mwaka huu. Kanijuza kwamba nafas watatangaza mwaka huu lazima vijana wenye sifa wajiandae ila sio mwez huu mpaka wale mujibi wa sheria waloenda iv karibun. Wasepe wanamaliza mwezi wa tisa wengi wap wataenda vyuo na awamu ya pili kwa mujibu huwa wanarud wachache sana kwaivo lazima watachukua vijana wa kujitolea. Kwaivo wanaweza wakafanya usaili mwez wa tisa afu ikawa kama wale wengine mpaka wa 12 ndio makambini ni hayo tuu cha msingi watu wajiandae na wazidi kumuomba mungu cz mungu anaangalia maombi ya wengi naamini watatangaza na mungu atatubaliki asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Omba mungu ajira zitoke ili lile kundi kubwa la vijana lililopo makambini lipatate ajira vijana wapungue coz kuna watu wana miaka 3 bado hawajapata ajira, PAMBANA NA HALI YAKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom