Anselm,
kauli mbiu ya chadema ni kama ipo vile vile, huo ni msistizo tu tunatakiwa tusnge mbele zaidi , zaidi ya hapa, mvuto wa chadema hakika nadhan hata wewe unaujua, uwe mwepesi wa kuelewa na si kuongea tu na kuweka picha zako zisizo na maana, we kijana mzima unavaa shuka hilo la kijani...