M4C yavuna 1200 Simanjiro

M4C yavuna 1200 Simanjiro

Tunazidi kuwaombea !Waendelee kuelimisha wasiokuwa na elimu na wale waliojazwa uongo na CCM.....hakika mpaka kufikia 2015 kazi itakuwa rahisi sana ! Tuko pamoja makamanda pigeni kazi !
 
Safi sana Ole Millya mbomoe huyo mropokaji Sendeka hadi abaki na familia yake tuu kwani jimbo hilo ni lako 2015. Chadema kazi ya kuwabomoa magamba iendelea sisi tunawabadilisha kichwa kwa kichwa hana sumu iliyopandikizwa na magamba iondoke kwa watanzania kuwa na utambuzi.
 
kazi nzuri sana , habari na picha za ushaidi kama hivi..wataisoma namba hawa magamba a.k.a wazee wa msitu wa mwipande
 
Ushauri wa bure lema atawasumbua mara mia arudi bungeni awe bize
 
Ushauri wa bure lema atawasumbua ccm mara mia arudi bungeni ili awe bize
 
Back
Top Bottom