nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by benny50, Jun 6, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. b

  benny50 Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari za mchana wadau...kazi hizo
   
 2. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  THAWA MDHADHI THA MBONA UJATHEMA NI DHA TAREE NGAPI? THINTH DHE ANOUNTHIMENT HADH ALREADY PUT IN DHE JAMVI. ANGALIA VIDHURI KWENYE OLODHA YA NAFATHI DHA KADHI.


  vuta buti mkuu.
   
 3. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 4. t

  titomrina Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wameshapeana tayari nyie mtaenda tu utaratibu ukamilike.
   
 5. t

  titomrina Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wameshapeana tayari nyie mtaenda tu kukamilisha utaratibu.
   
 6. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,275
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Hili nalo neno
   
 7. Aisatu

  Aisatu JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 369
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mbona kwenye web hakuna tangazo la ajira au washapeana?
   
 8. M

  Mshirazy JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2013
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 421
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kijana usijikatie tamaa bana ,sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma ni chombo cha kuajiri watumishi wa umma na sio kupeana!just apply,utashindanishwa na wenzako na wale watakaopata alama za juu hupewa ajira!

  Tusikatishane tamaa jamani!
   
 9. kuku87

  kuku87 JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2013
  Joined: Mar 3, 2013
  Messages: 1,221
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hizo kazi ni za last year hyo post imekuja juu sababu mtu amecomment
   
 10. CAREEN QUEEN

  CAREEN QUEEN Member

  #10
  Mar 27, 2013
  Joined: Mar 18, 2013
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa wameshapatikana wenzenu na kazi wameanza..nyie mnaendaga tu kukamilisha utaratibu
   
 11. F

  Fruit Senior Member

  #11
  Mar 27, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 12. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,275
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
   
 13. b

  businezz_oligarch Senior Member

  #13
  Mar 29, 2013
  Joined: Dec 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 14. n

  nyanungu magena Member

  #14
  Nov 28, 2013
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
   
 15. D

  DENNING Senior Member

  #15
  Sep 8, 2014
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Nadhani tatizo ni namna alivyoleta maoni yake lakini kuna baadhi ya taasisi wanafanya hivyo. Nami sitasahau siku nilipofanya usahili kwa ajili ya nafasi moja, watu tulikuwa 36 na nikaingia top 4. Kinyume na post zingine zilizokuwa na watu hadi 400 kwa post moja ambako top 4 ndo waliitwa kwa ajili ya oral, sisi tukaitwa 26, baadae tunagundua mtu wa kama 20 hivi ndiye aliyeitwa kazini. Kwa mawazo yangu niliona Sekretarieti ilitaka kumbeba yule wa 20 aliyeitwa kazini. Tulioingia top 4 tulikuwa na alama kuanzia 80 kwenda juu yeye aalikuwa na kama alama hamsini hivi. HAIWEZEKANI POST ZINGINE WATU WAFANYE 400 mshatlist watu 4 kwa oral lakini mshortilist 26 kwa ajiri ya oral interview kwa post hiyo hiyo moja. Nadhani kuna shida pia sekretarieti
   
 16. M

  Man tindwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2014
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 305
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu denning sipingani sana na ww ila kwa utaratibu mpaka ulivyo mara nyingi ni kuanzia marks hamsini na kuendelea ndo,wanakua prefered,kwa,ajili ya oral so,kupata kwako 80 sio tija ya watu waliopata hamsini kutoitwakwenye interview kuhusu labda hiyo post nyingine watu hawakufikisha passmark hao wanne ndo,walioitwa kwa kifupi utumish nawaamini coz kuna watoto,wa,wakulima ambao nawajua walifanya interview zaidi ya watu mia nne na kwa nafasi moja au mbili na walipata kazi
   
 17. M

  Man tindwa JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2014
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 305
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanapiga kazi mpaka kesho cha msingi ni kupiga shule ya maana ukiitwa kwenye interview
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...