Recent content by Benny

  1. Benny

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    The boy! Kitabu kizuri sana kuhusu maisha na utafutaji, kuna wakati nilijua Santiago baada ya kukutana na Fatima story ingeisha kumbe bado. Kuna maoni pale kwamba mali tunazotafuta mbali zipo kwenye milango yetu. Sehemu nzuri kwangu ni pale walikamatwa, Alchemist akasema, Santiago anaweza...
  2. Benny

    JamiiForums Tanzania Gigy Money asaidiwe

    Virasta hahaha!
  3. Benny

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    04:22...kumekucha!
  4. Benny

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kaka Yangu Kahukumiwa Miaka 30 Leo

    Pole! Naona una taarifa chache sana kuhusu hili suala hujachimba vizuri kufahamu hata mwenendo wa kesi, unasema hukuruhusiwa hata kusikiliza umekuta hukumu tayari na nakala huna. Tafuta mtu wa kukusaidia kwanza kujua mwenendo mzima wa kesi, upelelezi mpaka hukumu, umesema huna hela ni...
  5. Benny

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zangu tano kali za Bongo Fleva

    1. Pazia Jeusi- Roho Saba. 2. Mtoto wa Kiume- Mabovu. 3. Yote Maisha- Madee Ft P.Funk. 4. Jina Langu- Profesa Jay 5. Mtazamo- Afande Sele Ya Ziada: 1. Sugu Moto Chini- Mr II 2. Mwana Mkiwa- K- Sal 3. Mwanza Mwanza-Farid Kubanda 4.List Goes On...
  6. Benny

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris atarithi Urais kama Samia Suluhu?

    Juzi kamuita yule mzee son of b*tc
  7. Benny

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Haha, watufukuze tu Sisi peku peku
  8. Benny

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Baby I miss you so much? Hii jina yako tatoo niandike wapi? Kifuani, mkononi, au pajani? Ila[emoji173]
  9. Benny

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sasa wanasemaje?...au tuwaambie nini? Au watuache tufanye mambo yetu...[emoji173]
  10. Benny

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kama sio mapenzi hii ni nini???....[emoji173]
  11. Benny

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji28][emoji28][emoji28]
  12. Benny

    JamiiForums Tanzania Je, Rais akisema 'Mkeka wa Ma DC ' upo tayari kutoka ' Ufanisi ' wa Kiutendaji kwa waliopo Ofisini unaongezeka au unashuka?

    Muda utawaponya Ukiwa DC mwaka mmoja Inatosha sana kwa ajili ya Wananchi Na familia yako
  13. Benny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

    Hapa nimerudi upyaa Nawachambua wote Wanaokuambia I love you Wakati sipo
  14. Benny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stop dating mentally broke girls

    Tuhame hapa tusiharibu uzi wa watu, mama mzaa chema yupo? Yule mzee Kaboom je? Marafiki wote
  15. Benny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

    Unaona? Mambo hayo sasa? Mhubiri amemaliza kila kitu Tuwe humble tu Mimi nimesema nimekumiss kule Kumbe huku nimemisiwa pia Baby this love's too strong
Back
Top Bottom