Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,739
- 76,374
Kipindi cha kutaabika, ila gprs ilikuwa hata uniletee simu gani nakusetia na enternet inafunguka, nakumbuka Zantel gateway yake ilikuwa 10.10.9.30Kipindi cha GPRS viswaswadu
[emoji1474]
Kipindi cha kutaabika, ila gprs ilikuwa hata uniletee simu gani nakusetia na enternet inafunguka, nakumbuka Zantel gateway yake ilikuwa 10.10.9.30Kipindi cha GPRS viswaswadu
Kwanza hiyo nini, pensi ya jeans au gaguro?Wanyaki tupo fitView attachment 1829364
Ikiwa Shilingi 50 yao kwetu ni 1000 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Kama akifa utasikia tu, hakuna msiba wa mtu mmoja jamaniMengine kujiendekeza tu. Mbona wewe usimtafute? Anaweza akawa anaumwa au amelazwa au kafa kabisa watu wanaomboleza huko na wewe hujui [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28]Kama akifa utasikia tu, hakuna msiba wa mtu mmoja jamani
Hivi unavijua vipenzi ambavyo mahusiano yao mengine yamenoga? Kanajifanya busy hadi ukatafute na unakaona tu online, ukikatext tu message ikifika ndiyo kanazima na data kabisa. Ndiyo marehemu kazima data?
Mtumishi na wewe ni tabia yako?[emoji38][emoji38][emoji38]
Sio financial services huyu
[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwanza hiyo nini, pensi ya jeans au gaguro?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Kama sio mapenzi hii ni nini???....[emoji173]Babeeeees
Kama sio mapenzi hii ni nini???....[emoji173]
Sasa wanasemaje?...au tuwaambie nini? Au watuache tufanye mambo yetu...[emoji173]Ni mahaba ya dhati[emoji177][emoji177][emoji177]
Sasa wanasemaje?...au tuwaambie nini? Au watuache tufanye mambo yetu...[emoji173]
Baby I miss you so much? Hii jina yako tatoo niandike wapi? Kifuani, mkononi, au pajani? Ila[emoji173]Babeeeees
Kwenye paji la uso baby ujulikane ni mali yangu mimi tu. (Tutatolewa nduki uzi wa watu)Baby I miss you so much? Hii jina yako tatoo niandike wapi? Kifuani, mkononi, au pajani? Ila[emoji173]