Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

255656910229_status_8fa7db55faa242dba0b5635cf794daa1.jpg
 
Kama akifa utasikia tu, hakuna msiba wa mtu mmoja jamani

Hivi unavijua vipenzi ambavyo mahusiano yao mengine yamenoga? Kanajifanya busy hadi ukatafute na unakaona tu online, ukikatext tu message ikifika ndiyo kanazima na data kabisa. Ndiyo marehemu kazima data?

Mtumishi na wewe ni tabia yako?
Mtumishi. Ukiona mmeanza kutegea kutafutana basi jua kuwa mapenzi yameanza kuchacha labda kama kuna sababu zingine za msingi. Na kama mko karibu basi mwenzio anaweza kudhani kuwa kwa vile jioni mtaonana basi si lazima akutafute 24/7. Kama ni mapenzi ya mbali basi hapo hakuna wa kulaumiwa kwa sababu kwanza hakuna mapenzi ya mbali isipokuwa utoto tu na kudanganyana
 
Ngoja niongee kwanza na Baba Mchungaji afu ntakurudia na gazeti lako.

Mtumishi. Ukiona mmeanza kutegea kutafutana basi jua kuwa mapenzi yameanza kuchacha labda kama kuna sababu zingine za msingi. Na kama mko karibu basi mwenzio anaweza kudhani kuwa kwa vile jioni mtaonana basi lazima akutafute 24/7. Kama ni mapenzi ya mbali basi hapo hakuna wa kulaumiwa kwa sababu kwanza hakuna mapenzi ya mbali isipokuwa utoto tu na kudanganyana
 
Back
Top Bottom