Recent content by BenMcAfee

  1. B

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Serengeti Brewery(Graduate Program)

    Acha masihara wewew.. wale sio Migration.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Serengeti Brewery(Graduate Program)

    Habari wadau, jaman kuna yeyote aliepigiwa simu leo kwa Graduate Programs Serengeti brewery? Wamesema jumatatu tuende saa ngapi na tubebe vitu gani?? NILIACHA SIMU DOGO AKAPOKEA HAKUMUELEWA VIZURI HR NA SIMU NIMEPIGA HAIPOKELEWI.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

    Don't fool people
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Egotel nafasi 617

    Mkuu kwani hili tangazo officially limetangazwa mtandao gani?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Welcome to The Natve Corner on Facebook

    Here is a new page that gives YOU a chance to share what is happening in your community.... No offensive, you are all welcome. :A S-heart-2: https://www.facebook.com/TheNativecorner
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cloning facebook for newgen Tanzania

    Waalimu wameibukia kwene fani zisizo zao.. Unapewa ushauri unawaka. Kaazi kwelikweli.
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania blackberry

    Ckia kaka.. Kama tayari ulisha lipia ile ya mwezi ama wiki ikaisha... Nenda kwene optins za brwsr then click browser configuration afu change Browser iwe Wap (utakuta internet) then save changes na utoke hapo. Kisha ingia general propaties uchange to wap pia kama hatakuwa imejichange auto...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu MODEM gani nzuri ninunue?

    TTCL ina speed nzuri Na ni pay as you use..
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada keys za SMART PC CLEANER vesion 3.0.1.0

    Natanguliza shukrani wadau. Naomba mnisaidie keys za iyo program Pc inakuwa slow sana.
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 4g internet

    Hao smile wapo...ila tatizo sisi tunaotumia modem hatutofaidika na huduma zao..unless tuhamie broadband
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza,je naweza kupata Laptop nzuri kwa bei ya 300,000?

    Mkuu naomba uni PM hiyo contact plz..
  12. B

    JamiiForums Tanzania Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    Cwezi kujudge ila kilichonitia hasira ni hili la kuagiza vipuri vya Pound elfu 50.. Kilichowafikia TANESCO ilikuwa magunia ya MISUMARI... Achilia mbali hili la kuvuna nguzo IRINGA na kuzipeleka MOMBASA kisha zinarudi BONGO zikiwa zinanesha zimetokea kwa WAZULU... Kuuza mafuta..na kufunga...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Maandalizi Mabwenini kibaha..

    Asalaam alyekum wadau wote.. Hakika jana baada ya kumwona mwakilishi mmoja wa nchi yetu huko London akipewa kichapo kama mtoto.... Nina wasiwasi saana na tutakachokipata huko olympic 2012 London. Kuna baadhi ya wadau waliwahi kunukuliwa kuwa watachoma vyeti vyao ikiwa filbert atarudi na medal...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sup

    Huoni aibu kusema??
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shame on you!!

    You should reconsider the limitation of ya education..you aint know nothn about what Sagacity stands for... <br /> <br />
Back
Top Bottom