Maandalizi Mabwenini kibaha..

BenMcAfee

Member
Aug 18, 2011
71
6
Asalaam alyekum wadau wote..
Hakika jana baada ya kumwona mwakilishi mmoja wa nchi yetu huko London akipewa kichapo kama mtoto.... Nina wasiwasi saana na tutakachokipata huko olympic 2012 London.
Kuna baadhi ya wadau waliwahi kunukuliwa kuwa watachoma vyeti vyao ikiwa filbert atarudi na medal.. Si chelei kumuunga mkono.
 
Back
Top Bottom