Cloning facebook for newgen Tanzania

i pitty you brother, najua unatumia phpfox tena nulled...ila jambo la msingi ni iyo theme ya facebook, ndo umeniangusha tafuta theme tofauti, jaribu kuicustomize ifanane kibongo bongo lakini ukifananisha na facebook maana yake unataka kuwaambia watu unatamani kitu kama facebook

kwa taarifa yako: Nilikuwa naiba code miaka iyo zamani nikiwa sekondari hata kabla sijajua chochote kuhusu designing, nilikuwa nafanya for fun with my friends miaka kumi iliyopita.....brother mi naelewa wazo lako na malengo yako ni mazuri ila mh....hapo hata ukitaka sponsors wakikuuliza umeiba idea fb utawajibuje? Yani ungejua ungewasikiliza wadau wanachokwambia.

siitaji sponsers, sina dhiki kiasi hiki,
code ntaiba mpaka siku web duniani kote itakua open source standerd
kama wakisema nimeiba idea ya fb, nitasema ndio na isitoshe, nimeiba na users wao
 
siitaji sponsers, sina dhiki kiasi hiki,
code ntaiba mpaka siku web duniani kote itakua open source standerd
kama wakisema nimeiba idea ya fb, nitasema ndio na isitoshe, nimeiba na users wao

kama huna njaa na hutaacha wizi, sasa lengo ni lipi kufanya haya unayoyafanya? wote uwa tunaiba lakini kidogo kidogo, unaiba hapa na pale ukijumlisha na idea zako kinatokea kitu unique, sasa kama wewe kaka utaiba kila kitu huoneshi ukomavu wako katika fani hii, ni sawa orijino komedi wangekuwa mpaka huku wangekutoa kwenye ile segment yao ya vilaza wanaokopi na kupesti
 
MtotoSix and SamJet just cut the chase guys. The point is, kucopy kupo na kunafanywa na wengi tu. Samjet, usiwe offended kirahisi na watu just believe in you.Wanaolalamika ni kwa sababu imefanana precisely na Facebook kiasi kwamba inaonekana hamna ulichofanya! Ila kwa ushauri kama alivyosema Mtotosix, you have to be creative. Kama unasoma ComSci believe you can do better than that.
MtotoSix, go easy on him, tunasaidiana :redface:
 
Last edited by a moderator:
kaka GIVENALITY wala simulaumu bro SamJet ila nilichotaka kumwambia ni machache tu, maana kuna watu kibao wanazo izo clone waamue kutengenezea site kila mtu imagine itakuwaje? tuwe na site kama mia zinafana na facebook! where is originality? why are we coding? designing? yani mbona maisha yangekuwa rahisi wote wanaojiita web developers waibe script za watu hakuna kuedit wala nini ni ku upload na kualika watu wajionee ugunduzi wetu wa wizi....mimi sina nia mbaya na kaka hapo juu, namuaminia tena sana ila sio kwake tu hata kwa wengine, hebu imagine simu za mchina zinavyoharibu soko la nokia mpaka inabidi waanzishe kitengo cha kudhibiti wezi, lakini mwisho wa siku original uwa inajulikana na mchina uwa unajulikana....tusiwe tunakataa kusikiliza critics hata kama zitatukera, tuzifanyie kazi hii ni kwa ajili ya kutujenga na sio kubomoa...
 
Last edited by a moderator:
tatizo la huyu jamaa limbuken anataka mawazo halafu hataki critics watu wote walomponda kabishana nao anza mwanzo wa thread mpaka hapa utaona.

La sivyo asema hataki ushauri ye ana advertise tu
 
Social media solutions zipo nyingi sana, je matatizo yetu hapa bongo hayawezi kutatuliwa na nyinyi wana ICT kwa kubuni solutions zake? Acha kupoteza muda na hizi social sites kwani 'value' yake ipo chini sana kwa mahitaji yaliyopo hapa kwetu.
Challenge ya innovation ni kuumiza kichwa kwenye arena ambayo haijafikiriwa na kuweka solution hapa.
Kama lengo ni kujifunza tu, sioni tatizo lakini kama comment moja hapo juu inavyosema, kuweka huo mtandao hewani unahitaji pesa, sio tu za kuhost lakini ya kuiendeleza. Social media yetu wenyewe sioni maana yake kwani ulimwengu wa leo hauna hiyo mipaka, anyway challenge kwenu wan ICT...
 
"kwetu"
 
Halafu kama nakumbuka SamJet ulishawahi kuja na kitu kama hiki. YES! Ilikuwa inaitwa RafikiBuzz ambayo nayo ilikuwa community site too. What happened?
Ni hii hapa: RafikiBuzz The African Number 1 Social Network

It is better-looking and sophisticated kuliko hiyo Bongobest! Although bado muonekano kidogo unafanana na Facebook.
 
Last edited by a moderator:
halafu kama nakumbuka SamJet ulishawahi kuja na kitu kama hiki. Yes! Ilikuwa inaitwa rafikibuzz ambayo nayo ilikuwa community site too. What happened?
Ni hii hapa: rafikibuzz the african number 1 social network

it is better-looking and sophisticated kuliko hiyo bongobest! Although bado muonekano kidogo unafanana na facebook.

pia alileta clone nyingine ya twitter ambayo nadhani nayo haikuwa successiful, ilikuwa ukijiunga unatumiwa email karibu mia moja nikasema mungu wangu ni nini hiki.......
 
Last edited by a moderator:
sijamwelewa aliyeweka hi thread kaweka apate michango na mawazo then wanaomkosoa anabishana nao sasa sijui lengo lake nini?
Jaribu kufikiri beyond mfano ni kitu gani bongobest inacho ambacho kitamfanya mtu aihame facebook aje kwako?
Yani hata kama ni social network fanya kitu unique ambacho nikiwa bongobest ntaona niko bongobest nikiwa facebook nione niko facebook.
Si unaona twitter na skype zina tofauti na facebook hata mocospace pia ina kitu flani unique.
Nakushauri pia badilisha theme na mengne huoni darchat.com ilikuwa tofauti na facebook na ilikuwa na members wengi pia.
 
kama huna njaa na hutaacha wizi, sasa lengo ni lipi kufanya haya unayoyafanya? Wote uwa tunaiba lakini kidogo kidogo, unaiba hapa na pale ukijumlisha na idea zako kinatokea kitu unique, sasa kama wewe kaka utaiba kila kitu huoneshi ukomavu wako katika fani hii, ni sawa orijino komedi wangekuwa mpaka huku wangekutoa kwenye ile segment yao ya vilaza wanaokopi na kupesti

bora kuiba kimoja chote au vidogovidogo mia?
 
tatizo la huyu jamaa limbuken anataka mawazo halafu hataki critics watu wote walomponda kabishana nao anza mwanzo wa thread mpaka hapa utaona.

La sivyo asema hataki ushauri ye ana advertise tu

asante kwa waliolike hii reply(gvn) na kwa aliye reply. Limbukeni inamaana gani kwenye tunachoonglela??
 
pia alileta clone nyingine ya twitter ambayo nadhani nayo haikuwa successiful, ilikuwa ukijiunga unatumiwa email karibu mia moja nikasema mungu wangu ni nini hiki.......

hebu nikumbushe, ni raisi gani wa marekani aliyegombea miaka 16 na wa ishirini ndo akashinda?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom