Naomba kuuliza,je naweza kupata Laptop nzuri kwa bei ya 300,000?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Wadau naomba kuelimishwa kidogo kuhusu hili,nahitaji computer(laptop) na kutokana na uwezo mdogo,ntaweza kugharamikia Tsh. 300,000/= tu!
Maswali yangu ni je,1.ni laptop za aina gani zinaweza kuwa nzuri?
2.Naweza kupata mpya ama used tu?
Tafadhali kwa yeyote anayejua anisaidie ili nisijepata kimeo.
 
used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new
 
mkuu tupe no yake au email basi
 
Ungemweleza jinsi ya kumpata even ku m PM namba yake
 
used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new

Mkuu nurbert,embu nirushie na mimi hizo contacts zake niwasiliane nae mara moja.
 
Last edited by a moderator:
bora umwage tu hizo contact coz wahitaji ni wengi humu jamvini ila kama kuna unyeti basi ni pm pia

dah... Kaka privacy ya mtu inazingatiwa... Kama zngekua za kwangu ninge mwaga hapa,. But its not ma number... So i have to respect other peoples privacy...

Unataka moderator ani ban teh teh teh teh.,
 
mia mia mkuu
 
used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new

mkuu naomba unitumie na.yake ya simu au email yake
 
Back
Top Bottom