Naombeni ushauri kuhusu MODEM gani nzuri ninunue?

Jamani hizo Modem nia za Huawei (iko siku China itaongoza duniani) na walianza na TTCL na wataalam wanaoziwekea (manufacture) na lebal km ni Zain, Airtel, Voda,Tigo wapo hapo hapo Dsm.
Yupo mdogo wangu aliyemaliza UDSM 2008 akachukuliwa na Kampuni hilo sasa ameondoka anasema e173 ni faster ila kwa Airtel wao wako bei ya chini na ni faster hasa ukifanikiwa modem za zamani yaani Zain pia inachakachuliwa kwa line zote
Tatizo mitandao zaidi ya Airtel bei yao ya siku na 50mb au 400mb ni waongo
sasa hivi nimetoa Airtel nikaweka **** jamani haikamati namwomba jamaa atafute airtel (Zain) aweke hata ya wiki atafaidi maujanjamengine naogopa kwani tulishapeana wakatulazimu tuingie gharama nyingine nitaMP jamaa
 
CDMA zisizotumia line za kazi gani? labda hizo mpya za 3G zinazouzwa Zenji ila kama ni EVODO ajeachukue kwangu natoa bure.

Sasa mkuu,kuingiza laini au kutoingiza itasaidia nn,mana hzo CDMA za bongo Zantel ni bora kuliko ttcl and sasatel,otherwise bora uwe na modem ya 3G inayotumia laini zote
 
HUAWEI HiMini E369. Kaali sana 27mbps SIM card ya aina yeyote!
Au, HUAWEI EC315, HUAWEI E355 zina built-in WiFi hotspot kwa up to 5 devices.
 
Back
Top Bottom