4g internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

4g internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by danali, Jul 30, 2012.

 1. danali

  danali JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 808
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 180
  hivi kuna mtandao ndani ya tanzania hii unaosupport 4G internet nakama hakuna kwanini bac
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nenda pale posta Iway ndio wanao hao sawa mkuu..
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hakuna hata mmoja,
   
 4. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  mbona hawa Raha wanajitapa kwa hilo wakati hata hiyo 3G kuipata hapa bongo ni kwikwi!!!
   
 5. C

  Choi Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ina maana simu ya 4G haifanyi kazi bongo?
   
 6. kamonga

  kamonga Senior Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sio bongo tu hata nchi nyingi europe hawapati ni usa 4g ipo vommon.
   
 7. C

  Choi Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mbona hapa mjini wanauza hizo simu za 4G!
   
 8. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Airtel wana 3.75
   
 9. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Kaka siyo kama hizo simu hazifanyi kazi sema mitandao ya bongo haifikii hicho kiwango.
  Kwa mfano tuseme unahitaji kununua madhiwa fresh na mfugaji uwezo wake ni kukamua lita 5 kwa siku je utabeba chombo cha lita 5 au lita 20?
   
 10. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Kuna kampuni moja inaitwa Smile Telecom Holdings Ltd wao wameanza kurusha 4G-LTE,tokea mwezi wa sita kwa majaribio hapa DSM kwenye baadhi ya maeneo.Hivyo nasi ni kati ya nchi chache Afrika zinye huduma hii tukitanguliwa na Angola na Namibia.
   
 11. B

  BenMcAfee Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao smile wapo...ila tatizo sisi tunaotumia modem hatutofaidika na huduma zao..unless tuhamie broadband
   
 12. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  4G BONGO Bado sababu ni hii 3.75 ya airtel ipo ktk kundi la 3G (3 Generation)

  ambapo utakuta hii 3G ambayo ilianza kutumika 2001 wengi wetu tunapata UMTS, HSPA, WCDMA, HSUPA zote hizi zina support multimedia lakini IPv4

  Bado maeneo mengi hata kwa airtel wanapata Dual Network ambayo inakimbilia 2G yaan GSM, Mobile internet, TDMA, CDMA, 2.5G na 2.75G ama EGDE ambayo hii ni teknolojia ya 1992. na bado hapahapa nchini kuna watu wanapata 1G

  yaana First Generation ya 1981 sikuzaliwa mie tazama ukiweka tigo ukiwa kijijini kwenye simu inakupa ilama ya G thats is 1G.

  Sasa mnao lalamika kuhusu 4G yaani Fouth Generation tazameni nchi yetu mambo mangapi tupo nyuma hasa ktk tech.
  4G ni technolojia ya 2011/2012 ambayo inafuata taratibu zote za internet IPv6 na inakwenda kwa kasi ya 1Gbps na ipo sana katika makundi mawili ya kimarekani ambayo ni 4G LTE na 4g WiMAX tusubili kwanza pengine 2013 au 14 tutaipata ikumbukwe kuwa tayari 5G ipo.

  [h=2]Main 4G Features[/h]When It is still to estimate as to how many number of people have moved on from 2G to 3G , technology has come up with the latest of its type namely 4G.A successor of 2G and 3G, 4G promises a downloading speed of 100Mbps and is yet to shower its wonders on. then with the case of Fourth Generation that is 4G in addition to that of the services of 3G some additional features such as Multi-Media Newspapers, also to watch T.V programs with the clarity as to that of an ordinary T.V. In addition, we can send Data much faster that that of the previous generations.
  [h=2]What is the reason for delay in implementing 3G and 4G Mobile services?[/h]It is very sad to say that the 3G services had only reached with in some towns of china, so that it may take time to reach to Other countries. Another major defect of this is that Wide Band Frequency Spectrum, which is needed for 3G, is lacking. Another reason for this is that it a cost bearing item especially for sending data. So for us it is a higher one which could be used only by upper classes. If it should be accepted among all customers, firstly it should be availed at a lower rate, for which the rate of spectrum should be declined.

  Nokia's mobile phone of the future (2) - YouTube

  so pamoja na kuwa simu nyingi kama hizi za Windows Phone, Samsung Galaxy na Note zina 4G but kwa Bongo muda wa kuzifaidi bado... tuendelee kuwaombea Airtel!
   
 13. K

  Konya JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nimekupata vema mkuu,wengine hii mambo imetupitia kushoto
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakati bongo tunalia ma 3G Wenzetu wanampango wa kuacha kutumia 2G!! bongo bangala kweli Duuuu!!
   
 15. N

  Nyauuu Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kaka nadhani sijachelewa sana, 4G ipo bongo kwenye telecom hua maranyingi tunaita WiMax, nimefanya drive test ya minara ya Airtel na voda, na voda walikua wa kwanza kuingiza wimax, kiukweli wimax hapa bongo hutumiwa na ma bank kwaajili ya kulink databases hii ni kwasababu wanamatumiz makubwa ya mtandao hvyo wanaitaji technology ya mtandao yenye bandwidth kubwa na kwa sasa operators wa bongo wana support 4G/WiMax tu na kwa watu wachache wenye uwezo kulipia. Makampuni haya hayawezi ku support huduma ya WiMax kwa watumiaji wa mwisho kabisa kwa sababu ni gharama na pia bado 3G (UMIT [UH/DSPA, VIDEO calls, PS384]) inaweza kuhudumia watanzania wote, kuna mambo yanayo fanya kua local Operators na nchi za mbali wengi wasii support WiMax, kwanza WiMax kwaajili ya Data hakuna voice na ukizingatia matumiz ya internert ni kwa watu wamjini tu na mahitaji ya speed bado sii makubwa kihivyo, hii ina maanisha gharama ya uendeshaji itakua kubwa kuliko faida.
   
 16. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Maybe""""""
   
 17. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Hakuna 4g ila najuwa soon tutakuwa na 8g from china...just a matter of time like say 2years from now.

  Hatuna 4g kwa sababu inatoka marekani na bei za wazungu ni kubwa coz overheads na life style yao ni expensive soo the final cost anabeba mlaji...

  Ila kwa china ambao tumeongea nao wanasema watatuletea 8g ya kichina ata a very reasonable price coz mpaka sasa weshamaliza kutengeneza 4 g ya kichina wanatumia ndani then wanatengeneza double line ya 4g = 8g wataleta africa kwanza na kwa kuanzia sie ni rafiki zao wa karibu tutapewa first.

  Hii ni kwa mujibu wa meneja wa tanzania wa huwaweii.
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,766
  Likes Received: 7,070
  Trophy Points: 280
  Double line 4g + 4g = 8g
  Una maanisha network 2 za line ya kwanza na line ya 2 zinaunganishwa so ina maana hadi bundle ninunue mbili?

  Then kama ni hivo why wasitoe 6g now? Maana kuna 3g waeke double kama hio
   
 19. kamonga

  kamonga Senior Member

  #19
  Dec 31, 2013
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NIlivyo uliza kimeelezewa kua simu ambayo ina 4g then automatically itakamata 3g na 2g ila viceversa is not true, juz kati nimempelekea mtu galaxy note 3 ya 4g, its works in tanzania coz inapick up 3.75g and less ingawa na hata 4g kama ipo itapick. so far kampuni ya smiles ndo imetangaza rasmi kurusha 4g network, airtel mara ya mwisho walikua na 3.75g so you dont have to worry nunua tu 4g phone itafanya kazi safi.
   
 20. ymollel

  ymollel JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2013
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 2,217
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 180
  4G inaitwa 4G LTE . Smile communication wanayo hiyo. Ambayo sio real ni 3.75G hiyo ilikadiriwa tuu ililazimishwa
   
Loading...