ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
jamani kweli umenishangaza mkuu ajira ikufanye ujiondoe uhai wako bila sababu yoyote
hujui kuwa Mungu amekuweka ana mapango na makusudi na wewe sasa UMESHAJINYONGA au bado?
hujui kuwa Mungu amekuweka ana mapango na makusudi na wewe sasa UMESHAJINYONGA au bado?