Recent content by benignas

  1. benignas

    JamiiForums Tanzania DAR: Jeshi la Polisi linawashikilia Wanawake wanne kwa kuendesha harakati za Ugaidi Porini

    karate kama karate ukifundishwa ku block lazima ufundishwe na kupiga vilevili kumkataa kibaka lazima ujue anakuvamia vippi hivyo mafunzo ni yaleyale tofaut ni malengo
  2. benignas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Amenikataa kwa miaka 10, sasa amenikubali

    Kujisingizia ni bikra ndo atakuzungushaweeee mtoboe 20
  3. benignas

    JamiiForums Tanzania UKAWA umejaa mfumo dume, wanawake msiwape kura

    Hahahaaaaaa mnajitekenya na kucheka wenyewe hii namba tumeisoma ila ssa mbona hampatikanii?
  4. benignas

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Hiyo ni ya matumiz ya nyumbani tu mkuu na pia mm niko arusha kaka sijui utanisaidiaje nduggu
  5. benignas

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Kaka hii nimeipenda ila kwangu sina umeme natumia sola vip inaweza kunifaa mkuu?
  6. benignas

    JamiiForums Tanzania Siku ya tatu ninakuta vyungu na hela vimepasuliwa njiapanda

    Sasa si waeke noti waachane na masimbi
  7. benignas

    JamiiForums Tanzania unapenda kufuga mnyama gani(pet)

    Mi napenda sana sungura
  8. benignas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

    Hii ya kalla huyu jamaa ni noma kwa mtu anaeelewa anafanya mziki gani
  9. benignas

    JamiiForums Tanzania Laptop nauza

    SemA bei na ina shida gani
  10. benignas

    JamiiForums Tanzania Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Pole ziwaandame watakao anguka kwa sababu ya kutokua na refa upande wao
  11. benignas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orodha ya diss tracks za kibongo, Sehemu ya Kwanza

    Nako kina line ya g nako ilkua ina dis watengwa na waturutumbi "qweens fire tunapoteza mbaya wanabebwa uwezo hawana wanapwaya ckama nawanyea wenyewe mnaelewa "
  12. benignas

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni ushauri wadau

    Sawa mm nipo arusha
  13. benignas

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni ushauri wadau

    Asante sana ndugu hii ngoja niijaribu
  14. benignas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatumia CONDOM ya aina gani isiyokupa karaha?

    Cjui hata nzuri ni ipi maana sijawahi kuanza na condom nikamaliza nayo
  15. benignas

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni ushauri wadau

    Mm ni kijana mwenye umri usiozidi miaka ishirini na tano .huwaga najishughulisha na kazi za ufundi wa sofa na huwa natengeneza sofa nzuri kwakweli ila ninakuwa namashaka pale ninapokua nikitaka kufungua sehemu ya kuzia bidhaa zangu,kwani mtaji wangu ni mdogo sana ninamtaji wa kutengeneza sofa...
Back
Top Bottom