Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Niko na tray 10 za mayai ya kuku wa kisasa nitapokea leo , hivyo mwenye kujua wapi naweza pata huduma ya kuzitotolesha nitashukuru sana.

Niko Mwanza mjini.
 
Napenda kuchukua bafasi hii kutangaza huduma tunazozitoa kwenye kampuni zetu za MGE na KGE.
Sisi ni mafundi tuliobobea kwenye ufundi ktk fani mbalimbali.Tunajiamini kwa kuwa tuna vipaji bora vya ufundi licha ya kusomea ufundi mbalimbali.

Kazi zetu ni safi,hatupendezwi na kazi chafu zisizo na viwango,wakati wote tunajali ubora wa kazi na sio kuweka fedha mbele.

Tunawaasa mafundi wengine kuzipenda kazi zao na kufanya kazi kwq umakini ili kusudi waweze kujipatia wateja wengi zaidi na kuboresha vipato vyao.

Kwa mtu yeyote anaehitaji huduma zifuatazoanakaribishwa sana:

1.Egg Incubator,mashine za kutotoleshea mayai za umeme automatic na za mafuta ya taa manual.

2.Anayehitaji mashine hizo za kutotoleshea mayai za kutoka nje ya nchi,kama china,uk,usa,sa,nk.

3.Mwenye mashine iliyoharibika au inayosumbua ya kutotoleshea mayai.

4.Ushauri,mafunzo juu ya utumiaji wq incubator,uleaji wq vifaranga,chanjo zake nk.

5.Installation za umeme mahali.popote,ufungaji wa solar,nk.

6.Uundaji wa inverter,powerbackup,energy servers,nk.

8.Mahitaji ya mayai,kuku,kwale,kanga,bata,nk.

Na huduma zingine nyingi.

Tunapatikana Dar es salaam,mburahati au tabata posta,dsm.

Kwa mawasiliano piga simu,

0784413039.

Usihangaike,tupo kukushauri,achana na njaa,watakuibia pesa zako kwa bidhaa au kazi mbaya,harafu watapotea na kukuachia hasara tupu.

Epukeni sana mafundi wqnaojitangaza kwa vivutio vya bei rahisi,pata muda tuombe ushauri kwetu masaa 24.

TEMBELEA:FACEBOOK,AU TAFUTA MWAKALINGA GENERAL ENTERPRISES.

0784413039.

MWL.ELIASANTE LASTONE MWAKALINGA.
 
wajasilia mali wanao hitaji incubator mnakaribishwa kupata mashine kwa gharama nafuu
 
tumeongeza huduma zetu, kwa kutengeneza tunasuka na kutengeneza betri chager, na welding machine zenye ukubwa tofaut.
 
sola labda uwe na betri yenye kukaa na moto nyakat za usiku, au unatengeneza ndogo ya matumizi ya nyumbani tu
 
Arusha si mbali naweza kuisafirisha ama kukuletea hapo ulipo njoo whatspp kama huto jali 0754078015
 
tumeongeza huduma zetu, kwa kutengeneza tunasuka na kutengeneza betri chager, na welding machine zenye ukubwa tofaut.
 
mm natengeneza za ukubwa wowote kulingana na ombi la mteja. ukitaka manual au auto unapata
 
Inatumia siku ngapi kutotoa vifaranga? Ya mayai 60 shilling ngapi?

Vipi kwa msimu huu wa baridi unaoanza, inaweza kutotolesha na vifaranga vikasavaivu!?
 
inatotorsha mayai kulingana na aina ya mayai uliyoweka ni ya ndege gani. kama kuku ni siku 21, bata 28 kanga 30 kware 21
vifanga vitaishi kulingana na ww utakavyo vitunza ata kama ukiwa msimu wa joto usipo vihendo lazima vife
 
controller cjui kutengeneza bali nanunua. mashine kama usipo ipangilia au kuyajali mayai ktk usaf na muda tangu utagwa,ama kuyashikia mafuta ata uwe na mashine ya aina gani ufanis unakua mdogo?

wengi humu naona wanauliza mala aoutmatic wakijua kua unaweka mayai tu na kuiacha mpaka vifaranga vinatoka, ila wanakosea, ukiwa na mashine yoyote inahitaji uangalizi.
 
Nataka nijihusishe na ufugaji wa kuku wa kienyeji na wa kisasa hap Arusha.
Eneo ninalotaka kufugia halijafikiwa na umeme.

Je nitapata inayotumia solar? Au nishati nyingine yoyote nje ya umeme?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom