Unatumia CONDOM ya aina gani isiyokupa karaha?

Mimi huwa natumia kondomu kama uliyotumia wewe yenye mafuta mengi,ila huwa naanza kuifua kwanza halafu ndio naingia nayo kunako mechi,nikimaliza nafua tena kwa maandalizi ya mechi ijayo,maisha magumu bhana,bajeti muhimu,wengine tunapiga bao sita kwa usiku mmoja,sasa nikinunua kondomu kila siku naweza kutokula..!!!

Wadau,
Kuna baadhi ya condom zina mafuta sana, nahisi kama si nzuri kwangu coz nikiivaa tu nasikia hata misisimuko inapungua. Si vema kuitaja nisije nikaharibu biashara za watu ila kwa kuwa nimeshaeleza zina mafuta mengi, nitakuwa nimeeleweka. Nishirikishe aina unayotumia wewe nijaribu kubadili aina.
Ahksante sana.
 
mimi kwa kweli nasikia tu kwenye radio na tv, kumbe kuna nyingine wanaweka na matunda ndani ? looooh hizo zitakuwa nzuri kwani ni matunda gani yanawekwa jamani kwa wale wakongwe wa kondom
 
Wadau,
Kuna baadhi ya condom zina mafuta sana, nahisi kama si nzuri kwangu coz nikiivaa tu nasikia hata misisimuko inapungua. Si vema kuitaja nisije nikaharibu biashara za watu ila kwa kuwa nimeshaeleza zina mafuta mengi, nitakuwa nimeeleweka. Nishirikishe aina unayotumia wewe nijaribu kubadili aina.
Ahksante sana.

hebu jaribu kutumia lady pepeta
 
ukitumia za sh 400,500 nahisi sio nzuri sana kwa upande wangu durex naona ndio the best one,no ky jelly needed
 
ukitumia za sh 400,500 nahisi sio nzuri sana kwa upande wangu durex naona ndio the best one,no ky jelly needed

Unakula denda weeeeeee! Unalamba visimi weeeee, halafu mwishoni mnajifanya mnatafuta condom dah!kweli kuna haja ya serikali kuanzisha kipindi maalum namna HIV inavyo ambukiza maana naona wengi hawana elimu sahihi , Bora mie ninaye pigaga kavu lakini nina uhakika na afya ya ninaye piga kavu baada ya kupima.sorry kwa ku quote ila ujumbe unaweza usikuhusu wewe ila wapo watakaohusika nao
 
Hakuna condom nzuri na ya uhakika kama "MAKONDA" hii inapatikana kanda ya ziwa, Dinazarde ni shahidi mzuri!
kitu mterezo unajitafunia papuchi kwa raha zako mwanzo mwenga priii mpaka macca!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom