Orodha ya diss tracks za kibongo, Sehemu ya Kwanza

Orodha ya diss tracks za kibongo, Sehemu ya Kwanza

Nako kina line ya g nako ilkua ina dis watengwa na waturutumbi "qweens fire tunapoteza mbaya wanabebwa uwezo hawana wanapwaya ckama nawanyea wenyewe mnaelewa "
 
Yap Mkuu, humo humo!!

Jina halisi limekuwa na mkanganyiko sana si unajua ngeli aliyotambaa nayo mule sio ya kawaida.....!!

Na siku zote hata DJ Skillz alikuwa anaitambulisha kama 'Behind the shadow of dark destiny", binafsi nikawa nakatisha "behind the shadow"...!

Pamoja.

vipi kuhusu marehem Drob???...sijaskia ukimzungumzia anyway sipingani na ulichokisema kuhusu watu wanao muita Fareed kuwa legend ukawaacha wakina Saigon,lakini kumbuka Fid anastahili kuvikwa ukongwe kulingana nawatu alio simama nao nisawa na ukiwa msimamisha Jayz au Nas na KRS ONE au Nas na IceT always NAs hawezi kufeet kwenye u legendary hapo,lakini ukiwachukua hawa wakina Kanye,50,Rick ross,TI sill Nas atabaki kuwa mkongwe
 
Nako kina line ya g nako ilkua ina dis watengwa na waturutumbi "qweens fire tunapoteza mbaya wanabebwa uwezo hawana wanapwaya ckama nawanyea wenyewe mnaelewa "

Siku detect kama hii line jamaa alikuwa anawadiss waturutumbi na Watengwa
 
Beef la Lord Eyez na JCB lipo hadi leo. Juzi JCB kafanya ngoma na Pina na Fid, kamchana Lord kiasi cha kutosha tu humo.

kunatetesi kipidi flani zilivuma miaka ya 2007 kuwa kikosi chini ya pina waliwapiga Nako ilikuaje hapa,
 
1. KIKOSI CHA MIZINGA VS CLOUDS MEDIA ,ARTSITS SUPPORTED BY CLOUDS MEDIA GROUP.

2. NGUMI KATI YA KALAPINA NA DUDUBAYA.

3. KIKOSI CHA MIZINGA (WATOTO WA KINONDONI ) WAKIONGOZWA NA KALAPINA VS WATOTO WA ILALA WAKIONGOZWA NA CHID BENZ.

4. KALAPINA & CHID BENZ FIGHTS BEFORE ISSUE ILIYOTOKEA MWAKA JANA PALE CLUB MAISHA.

Mwaka 2004 Kalapina na Kikosi cha Mizinga walikuwa kwenye beef zito kati yao na Clouds Media, wasanii wanao pewa sapoti na Clouds pamoja na wasanii wote wanao imba Bongofleva. Kikosi ndio walio kuja na dhana ya kutofautisha kati ya Hiphop na Bongo Fleva.

Nguvu ya Kikosi cha Mizinga iliwatisha sana Clouds Media so wakaamua kutafuta watoto watukutu wa hapa wa mjini wawaweke juu ili wapambane na Kikosi Cha Mizinga.

Chid Benz na watoto wa Ilala walionekana ndio wanafaa katika hilo.. Siku moja Steve B au Muli B alikuwa anafanya interview na Chid Benz, akamuuliza swali la kizushi " Kuna watu wanasema wao hawafanyi bongo fleva ila wanafanya hiphop, unalizungumziaje suala hilo?" Chi Benz aliponda sana akasema, wasanii wa Bongo wote wanafanya Bomgofleva, hakuna cha Hiphop wala mama ake na Hip hop, wanaosema wanafanya Hip hop hao ni wazushi tu, hawana hiphop skills, hawawezi kufanya free styles and all that, kwanza Bongo hajaona mkali wa Hip hop kama yeye., sasa kama yeye mwenyewe pamoja na ukali wake wote anasema anafanya bongo fleva what about hao wanao jiita hip hop..

Kalapina and Kikosi cha Mizinga took an offence. Kalapina akatangaza vita na Chid Benz, alikuwa akisikika kwenye kumbi mbalimbali za starehe akisema siku atakayo kutana na Chid Benz atamfunza adabu.

Wiki moja baadaye Chid Benz akiwa kwenye klabu moja ya usiku alikutana na jamaa ambao ni memba wa Kikosi cha mizinga..... JE NI KITU GANI KILITOKEA?
FUATANA NAMI BAADAYE KIDOGO AU KESHO.
 
Diss track nyingine ni :

HIPHOP IS ALIVE........KALAPINA FEAT Q CHILLA. Kwenye Ngoma hii anasikika Kalapina akiwadiss Ney wa Mitego , Diamond PLATNUMS,Bou Nako pamoja na Weusi.. Katika ngoma hii, Kalapina anasikika akimuita Ney wa Mitego kwa jina la Neema and anasikika pia akiwaambia weusi kuwa " Weupe Tu"
 
Ukitaja raper wafu, wakwanza ni jafarai/

Songa.
 
Mii naomba mwenye details za kutosha, kuhusu beef za:
1. Jay mo na Fa
2. Ngwair (rip ) na CLOUDS MEDIA
3. Afande na Madee
 
1. KIKOSI CHA MIZINGA VS CLOUDS MEDIA ,ARTSITS SUPPORTED BY CLOUDS MEDIA GROUP.

2. NGUMI KATI YA KALAPINA NA DUDUBAYA.

3. KIKOSI CHA MIZINGA (WATOTO WA KINONDONI ) WAKIONGOZWA NA KALAPINA VS WATOTO WA ILALA WAKIONGOZWA NA CHID BENZ.

4. KALAPINA & CHID BENZ FIGHTS BEFORE ISSUE ILIYOTOKEA MWAKA JANA PALE CLUB MAISHA.

Mwaka 2004 Kalapina na Kikosi cha Mizinga walikuwa kwenye beef zito kati yao na Clouds Media, wasanii wanao pewa sapoti na Clouds pamoja na wasanii wote wanao imba Bongofleva. Kikosi ndio walio kuja na dhana ya kutofautisha kati ya Hiphop na Bongo Fleva.

Nguvu ya Kikosi cha Mizinga iliwatisha sana Clouds Media so wakaamua kutafuta watoto watukutu wa hapa wa mjini wawaweke juu ili wapambane na Kikosi Cha Mizinga.

Chid Benz na watoto wa Ilala walionekana ndio wanafaa katika hilo.. Siku moja Steve B au Muli B alikuwa anafanya interview na Chid Benz, akamuuliza swali la kizushi " Kuna watu wanasema wao hawafanyi bongo fleva ila wanafanya hiphop, unalizungumziaje suala hilo?" Chi Benz aliponda sana akasema, wasanii wa Bongo wote wanafanya Bomgofleva, hakuna cha Hiphop wala mama ake na Hip hop, wanaosema wanafanya Hip hop hao ni wazushi tu, hawana hiphop skills, hawawezi kufanya free styles and all that, kwanza Bongo hajaona mkali wa Hip hop kama yeye., sasa kama yeye mwenyewe pamoja na ukali wake wote anasema anafanya bongo fleva what about hao wanao jiita hip hop..

Kalapina and Kikosi cha Mizinga took an offence. Kalapina akatangaza vita na Chid Benz, alikuwa akisikika kwenye kumbi mbalimbali za starehe akisema siku atakayo kutana na Chid Benz atamfunza adabu.

Wiki moja baadaye Chid Benz akiwa kwenye klabu moja ya usiku alikutana na jamaa ambao ni memba wa Kikosi cha mizinga..... JE NI KITU GANI KILITOKEA?
FUATANA NAMI BAADAYE KIDOGO AU KESHO.

dah kaka. Hebu malizia uondo
 
umenikumbusha mbali sana hasa hizo ulizozielezea za ukwee hasa nature na insepkta ilikua tafrani
 
Dah, Mkuu unanipa kibarua sana hapa kwanza hiyo kazi ni ya kitambo hata CD ina-scratch balaa, halafu nadhani nimeibiwa hiyo CD....

Pia sina mda wa kupitia track kwa track ila generally ni mixtape iliyochanganya freestyle za Hashimu "Dogo" , Kala Pina na baadhi ya washkaji wa pale Kikosini na washkaji wengine wa Atown kama "Majeruhi" na washkaji wengine wa huko Atown.

Walitoa Version nyingi ila kwenye kupatikana huku mtaani zilikuwa zinapatikana vipande-vipande mfano CD niliyoipataga Mimi ilikuwa na track kama 14 hivi ila niliiambiwa original yenyewe ilikuwa na Track zaidi ya 20.

Kwa kifupi humo pamoja na Diss, lakini ni kazi ambayo inawakilisha ustadi wa sanaa ya hiphop wa hali ya juu kwa mtu anayemjua Hashimu "Dogo" sihitaji kueleza sana basi, ila jua tu humo Hashimu ameharibu sana na amefundisha namna ya kufanya diss na jinsi ya ku-freestyle ambapo alieleza aina 3 za Freestyle... lol..!

Bado nashangaa sana game ya sasa kumtawaza Fid kama ndio eti emcee mkali wa hiphop, mweh! Game yetu hii full kupotea.

Tutazidi kushirikishana kuhusu vitu tofauti vya Game yetu.

Moja ya track kwenye iyo mixtape, ni hii:

mp3.gif
Kikosi & dogo Hasheem - Free Style.mp3

Hasheem Dodo 'Mwendawazimu' anakwambia eti ''nakipaka ata mbele ya Mkapa...'' hahahaa kichwa hatareee sana kile katika hip-hop, yupo na JCB kwenye iyo track
 
Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom