Recent content by BENE

  1. B

    Udini wainyemelea CCM?

    Ila kwa kina Amina kunatisha kinyamaaaaa!!!!!!!!!!!! Be careful ooooooooooooooooooooo
  2. B

    Accidents at Kibaha: A Scientific Reason?

    kwa sisi wa kiroho zaidi tunajua hayo ni malango ya kuzimu. Lazima maombi makubwa ya kuvunja ngome hizo yafanywe maeneo hayo. Maeneo ya kikavu ilikuwa hivyo hivyo lakini baada ya walokole kufanya maombi na kuandika zaburi mbali kule kwenye mawe mtoni pale kikavu mashetani yakakimbia na malango...
  3. B

    Tumuombe Mungu kwa ajili ya viongozi wetu

    Mambo ya Tanzania yamekaa kiroho zaidi. Kwa hiyo mwenzetu analitazama swala la Tanzania kutoka kwenye mambo ya Kiroho, kwani hali ya mtu unayoiona katika uhalisia inatoka kwenye ulimwengu wa Roho. lazima uingie kwenye shule ya Roho Mtakatifu ndiyo uelewe haya mambo. Kama hujaenda shule ya Roho...
  4. B

    Open University

    Bado naangalia kwenye website ya Open University of Tanzania, nia na madhumuni ni kutafuta maelezo kuhusu lini masomo yanaanza. Nikimaanisha kama ndiyo kwanza nimejiunga masomo yanaanza lini. Au ingekuwa kwa vyuo vya kawaida ningesema "je semester ya kwanza inaanza lini??" Sijaona maelezo yoyote...
  5. B

    Elimu ya Uraia Tanzania

    Hilo neno my dear hiyo ingetouch kila eneo jarida litembee kuazia shuleni hasa secondary mpaka vyuoni na wale wa ngazi ya chini kabisa good idea i like it
  6. B

    Lowassa, Rostam Aziz, Mwinyi vinara wa kukaa kimya bungeni

    tuangalie wale waliochangia sana wanasifa gani. tuangalie wale waliokaa kimya wana sifa gani.
  7. B

    Tamko la Wapiganaji CCM Feb 10, 2010

    hayaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeeeeee
  8. B

    Natafuta viyatu vya Mitarawanda.

    makubwa!!!!
  9. B

    Mkutano wa injili wa mwakasege;arusha kulipuka tar 28jan-5feb 2010

    semina ilishapita kuanzia tarehe 31 january mpaka 7 february somo kuu ni jinsi shetani anavyoshikilia wazaliwa wa kwanza ki-cheo na ki- haki na kuvuruga familia. mchawi alikabithi zana zake.
  10. B

    Tatizo letu liko wapi?

    Tupeni namna ya kuupgrade kwenye hiyo lugha ya wenzetu na siyo kushangaa. primary- Mtaenda primary Schoo!! Secondary- Ya Kata haina mwalimu wala dawati sembuse vitabu. Mzazi atajipiga kupata kitabu na dawati, how about waalimu na taaluma zao?? Advanced Sec. School- Mwirenge High school...
  11. B

    Wanaosababisha mgongano CCM kung'olewa

    Eee lakini tangu uhuru jamani ukotuuuu si utoke ?? Mpaka ufukuzwe?? Real sorryyyyyy!!!
  12. B

    Clouds FM: Katika hili mnastahili pongezi

    Vi vizuri!! Watu wanafanikiwa through utoaji.
  13. B

    Thanks God for Giving us Kikwete

    Wakati mwingine kiongozi anaweza kuchaguliwa na mungu halafu asiongoze kwa kusudi la mungu. Hapo ndipo yanapomkuta mamyo yanayofanana na matukio ya sasa. Wakati mwingine kiongozi kama kikwete huchaguliwa na mungu(mzembe mzembe kama wengi wanavyosema), namungu anacha iwe hivyo ili mabo fulani...
  14. B

    Rais anapodanganya Umma na kulialia eti Umasikini...

    kama neno linaumba basi lazima tuwe maskini. tunahitaji rais atakayetabiri utajiri katika Tanzania. Akiangalia kila mkoa aone plent of resources halafu azifanyie kazi na sio kulia tuuuuuuuuu. maskini ,!!!maskini !!!!!. Sisi ni matajiri bwana alaaaaaaaaaaa! matanazite, maurainum, mafuta, makaa...
  15. B

    Rais wetu Jakaya Kikwete anaangushwa na wateule wake!

    ni ngumu sana kuweka urafiki na udugu kwenye maswala ya kitaifa.
Back
Top Bottom