Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
kutangulia kusoma madrasaat badala ya elimu inayomfungua mtu kichwa kwanza ni tatizo, elimu aliyosoma kwa kiasi imeathiliwa na alimu ya awali ile ya kukaririshwa mambo
NO!!
Issue siyo madrasa hapa na kucrame mambo, issue ni kuwa JK ni mweupe! pe! kuna waliosoma madrasa ninawajua they are smart.
JK ana matatizo ya experience ya kazi amemaliza chuo akaenda kugawa kadi za TANU.
Sijajua kama anajua kitu kinachoitwa research, criticism, papers, thinking yake kwa ujumla inatuchafua watanzania wote. Huwezi kamwe kumweka chungu kimoja na Ben Mkapa katika issue za uongozi wa kisomi.
Ujinga huu wa Jk ni matokeo ya culture wakati mwingine, maana unaona kabisa kama JK na Mwinyi wametoka nyumba moja mitazamo yao n.k, AT least mwinyi alikuwa angalau mjanja.
we need brains at the top, we need smart people , JK will never be among them,even if we will deny this; his presence and actions will always be reminding us that we have a problem! president is a problem CCM is
Na ukienda CCM ukakuta wote wanasema aendelee, basi ujue tatizo siyo JK tu, yeye ana present wengi ndani ya CCM ambao wamekalia uswahili, jobless, wishful thinking, uzembe,kucheza bao n.k