Recent content by benCNN

  1. benCNN

    JamiiForums Tanzania Afisa kilimo aje arusha nije mbeya

    Chap chap niko wilaya ya arusha dc mjin kabisa
  2. benCNN

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Kwaio kuna mtu ni muongo?
  3. benCNN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Ulifanikiwa?nijuze nami
  4. benCNN

    JamiiForums Tanzania Anatangaza dau nono kwa mwalimu huyu

    Afisa kilimo alieko mbeya aje arusha jiji chaaap
  5. benCNN

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Afisa kilimo aje arusha nije mbeya
  6. benCNN

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa walimu kubadilishana vituo vya kazi

    Afisa kilimo aje arusha jiji nije mbeya
  7. benCNN

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Afisa kilimo aje arusha nije kyela
  8. benCNN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Perfect ya leo mbet leteni tutetembelee nyota zenu Post sent using JamiiForums mobile app
  9. benCNN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hii prison saiv wametoa ngap? Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
  10. benCNN

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Taratibu zote zimefanyika ila bado kiza Tunabadilisha so hatuachi upungufu popote ,hatutaki tulipwe,tumekubaliwa pande zote ,,tumewasilisha barua zote na docs nyingine kwa katibu tawala(arusha na manyara) na wameshatuma huko tamisemi Bado nn? Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
  11. benCNN

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Yoga nakuja inbox Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
  12. benCNN

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Transfer vip ndio hakunaga au?
  13. benCNN

    JamiiForums Tanzania Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Hivi mmeshindwa kutupa majibu ya uhakika kuhusu uhamisho? Au bado mnahakiki?na kwa sasa mnahakiki nini?hiyo ni wizara ya kitaaluma namba moja kauli na matamko yenu mbona kama kisiasa hivi?is it delaying tactics au tuiteje? habari ya uhamisho ikoje?
  14. benCNN

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nna maswali tusaidiane 1.hivi uhamisho wa ndani ya mkoa nao ni wa kubadilishana? (Utaratibu wake ukoje) 2.je ukishapata wa kubadilishana nae na barua zenu zikishapitishwa pande zote mkaziwasilisha kwa makatibu tawala kila mmoja wenu,,nn hufuata?nini mtumishi anaweza kufanya kuharakisha...
  15. benCNN

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya kufutwa kwa uhamisho wa 2016-2017?

    Wale waliokamilisha taratibu zote na barua zao ziko kwa makatibu tawala wa mikoa tufanyeje kuspeed up process zifike tamisemi jamani
Back
Top Bottom