medard martine
New Member
- Sep 27, 2017
- 1
- 0
Nimewapigia Tamisemi leo tar 28/9/2017 kuhusu kutoona jina langu kwa wanaohama yalotoka tar 20 sept,2017 walichonijb nikuwa mengine yametolewa jana tar 27/09 na mengine watatoa. Sasa kama kuna alonae hayo yalotolewa 27/09 pls tutupie.