nombo toby
Member
- Aug 9, 2016
- 47
- 41
Hivi kuna ukweli wowote juu ya kufutwa kwa uhamisho wa 2016-2017 ambao ulisitishwa kwa muda?
uko wap mkuunatamani nipate ndg tamisemi nateseka kweli huku jamani Ili nipate uhamisho
Uhamisho wa ndani ya mkoa umeruhusiwa, kama ulikua na barua tayari ofisi ya katibu tawala kutoka kwa mkurigenzi wako kukuombea kibali tamisemi zinashughulikiwa kwa sasa ila uwe unajigharamia mwenyewe
Hii ni taarifa ya tamisemi au ni mawazo yako?Tafuta utaratibu upeleke tena copy za barua zako ulzozpeleka kwa Katbu Tawala mana Tamisemi hawatachambua tena zle barua ambazo tulztuma mwanzo kutokana na watumish hewa waliondolewa
Baru ya mkurugenzi kukuombe kibali nayo ikiri kuwa unajigharamia!!mbona mnatuchanganya jamani!!! kwa hyo tuombe upya ama wanashughulikia tulzokwisha tuma ambazo mpaka leo hazijapata majibu!!. kama ni kujigharamia wangine tulikiri kwenye barua kwamba tutajgharamia