Anatangaza dau nono kwa mwalimu huyu

Anatangaza dau nono kwa mwalimu huyu

Joined
Aug 9, 2017
Posts
97
Reaction score
85
Kwa mwalimu yeyeto aliepo dar anafundisha sekondari alietayari kuhamia Arusha mjini anatangaziwa zawadi ya 1,300,000tsh ikiwa atakuwa tayari kubadilishana vituo vya kazi.
Hakuna utapeli kama una lengo la kutapeli ishia hukohuko tutaandikishina kwa mwanasheria na MALIPO ni baada ya mambo kutick.

Wajulishe na ndugu zako

Karibuni walimu.
UPDATE:
Kama utaona dau halitoshi mta negotiate ila pia ukiongeza dau uwe tayari kulipwa kwa installments.

UPDATE:
NAONGEZA DAU MILIONI 2 MEZANI UNAPEWA CASH BAADA YA MAMBO KUTICK
 
Me kwa aliye dar atakayekubali kubadilishana na wa bagamoyo mjini,nitagharamia process zote na ntamlipa milioni moja.
 
Anhaa basi umeweka habari yako iwe complicated.kumbe kubadilishana kituo cha kazi.sawa Kila la kheri
 
Hivi Dar kunani hasa hadi watu waende huko na maisha ya huko ni shida kwa wenye kipato cha mawazo miningekua Dar hiyo ofa ningeikubali mapema na kwenda Arusha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani hivi Dar Pazuri. Mie naona kero tu. Yaani kazi ninayoifanya hapa ingekuwa arusha au mbeya ingekuwa powa sana
 
Ivi walimu wa chemistry ndo wanaiita catalyst hyo m 1.3 leo ndo nimeelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani hivi Dar Pazuri. Mie naona kero tu. Yaani kazi ninayoifanya hapa ingekuwa arusha au mbeya ingekuwa powa sana
Wengine ndo tumezaliwa dar tumesomea dar tumekulia dar famille zetu zipo dar huku mikoani tunaona shida tu
 
Kwa mwalimu yeyeto aliepo dar anafundisha sekondari alietayari kuhamia Arusha mjini anatangaziwa zawadi ya 1,300,000tsh ikiwa atakuwa tayari kubadilishana vituo vya kazi.
Hakuna utapeli kama una lengo la kutapeli ishia hukohuko tutaandikishina kwa mwanasheria na MALIPO ni baada ya mambo kutick.

Wajulishe na ndugu zako

Karibuni walimu.
UPDATE:
Kama utaona dau halitoshi mta negotiate ila pia ukiongeza dau uwe tayari kulipwa kwa installments.

UPDATE:
NAONGEZA DAU MILIONI 2 MEZANI UNAPEWA CASH BAADA YA MAMBO KUTICK
Hiyo ni kama ile 700B ya kuonyesha nia njema lakini si ya kisheria, kwa hiyo haina namna ya kuidai. Weka offer ya kulipa 1m mwanzo wa mchakato na kumalizia 1m mwisho wa mchakato. Vinginevyo utasubiri sana mkuu! Ukifanya hivyo utawavutia wahusika!
 
Mhh hapana matapeli wengi unampa m1 ya kwanza anasepa mazima
 
Back
Top Bottom