TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Jamani imetolewa barua Mpya yenye maelekezo kwamba wanohitaji kuhama nje ya mkoa utaratibu umewekwa kama mwanzo kwamba barua ya maombi ya nafasi unakotaka kwenda kupitia kwa wakuu wako wote wa kazi na wa mwisho ni Mkurugenzi wako kisha uitume unakokwenda nako ujibiwe kama nafasi ipo na Mkurugenzi wako anakuombea kibali kwa RAS RAS naye anakituma tamisemi ukiambatanisha na barua ya maombi ya nafasi, barua yabkukubaliwa, hati ya mshahara, barua ya ajira, barua ya kuthibishwa kazini, kitambulisho cha Nazi.
Pia kwa wale ambao walishaomba uhamisho 2016 na walikamilisha utaratibu wanatakiwa kukumbushia maombi yao kwa RAS barua ipitie kwa wakuu wake na Mkurugenzi akiambatanisha na kibali kipya ambacho atasaini Mkurugenzi wake na viambatanisho vyote nilivyotaja hapo Juu barua inaenda kwa ras
 
Hebu tuma humu hiyo barua
 
Jamani mbona wakurugenzi wengine hawataki kupitisha barua za kukumbushia uhamimisho Yangu Mimi tangu 22 sept mpaka Leo DED hajapitisha. Ni tatizo kiukweli
 
Back
Top Bottom