Recent content by Belyo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jamani Housegirl wangu Huyu, Ananitafuta ubaya! (STRICTLY KWA WANAUME TU)

    Ikimbieni zinaa, usichezecheze nayo. Itakuangusha tu. Ili kulinda ndoa yako mtimue huyo house girl. Asiwepo karibu na wewe. Atakuangusha huyo, shauri yako.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    big up chadema. Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania What a Sad Story

    Very sad story. Pole kwa wahusika. Nendeni kwa watumishi wa Mungu watamwombea mtoto naye atapona kabisa!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye Habari za OSHO Yoga/Meditation-Pune, India Tafadhali!!

    Jamani wana JF mpeni majibu aelewe kwa wale mnaofahamu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Yes, I Did It!

    Yesu ndiye njia,kweli na uzima. Mtu haendi kwa Baba (Mungu) ila kwa njia yake tu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hujafa haujaumbika - God's Great

    Huo ni utukufu wa mungu. Mungu yupo na mungu ni mkuu aweza kufanya anavyotaka yeye.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Neno La Leo: Kipande Cha Sabuni Ya Punda!

    "Enyi wagalatia ni nani aliyewaloga?" Namnukuu mtume Paulo. Naamini siku ya kura watawapigia wale wale waliowafanya hali yao iwe vile. WATU HAWA WAMELOGWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kuanguka kwa JK Jangwani, je ni uchawi?

    Na mwaka jana alilogwa?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sheria Mkononi!

    Mshahara wa dhambi ni mauti
  10. B

    JamiiForums Tanzania CCM Kigoma balaaa...

    Wamelewa mvinyo wa ufisadi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani JK, ona na hawa!!

    Hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania. Watanzania ufahamu wetu umefungwa. Mungu atusaidie. Amen
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke afariki baada ya kufanya mapenzi nje Ndoa

    Maana mshahara wa dhambi ni mauti na apandacho mtu ndicho akivunacho
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mjasiliamali soma hapa

    Asante kwa somo hilo. Hata hivyo ningependa kufahamu jinsi gani naweza kuchagua biashara ya kufanya
Back
Top Bottom