Mwanamke afariki baada ya kufanya mapenzi nje Ndoa

Ehe asante sana kwa ufafanuzi wako, sasa hiyo coital hypertention ndo nini kwa maelezo ya undani zaidi. Je dawa yake au kinga ni nini! ntashukuru sana kwa ufafanuo huo.

Kwa kifupi ni hivi
An unusual case of acute headache and hypertension occurring at the height of sexual excitement during the period between childbirth and the return of the uterus to its normal size, it is approximate six-week period lasting from childbirth to the return of normal uterine size.

Dawa yake au kinga ni kutofanya mapenzi ndani ya mda mfupi namna hiyo baada ya mwanamke kujifungua
 
Hii hadithi isiyokuwa na kichwa, umiliki, wala chanzo imetungwa na mimi kijiweni kwetu, imeshafanikiwa kusambaa, wow!

Watanzania wanaamini chochote, ukiwaambia weka hela kwenye hiki chungu cheusi ziache zitazaa watoto watakubali bila hata kukuuliza wewe nani.
 
Kwa kifupi ni hivi
An unusual case of acute headache and hypertension occurring at the height of sexual excitement during the period between childbirth and the return of the uterus to its normal size, it is approximate six-week period lasting from childbirth to the return of normal uterine size.

Dawa yake au kinga ni kutofanya mapenzi ndani ya mda mfupi namna hiyo baada ya mwanamke kujifungua
woow thats very informative... I didnt know that before..but now it make sense why muslim women are not allowed to have intercourse till they complete 40 days after childbirth...thanks Freetown
 
Ni lini wake zetu watatulia?[/QUOTE]

Siku mtakapo wapenda, kuwawajali na kuwaheshimu na kuwaonyesha kuwa mnawapenda, kuwajali na kuwaheshimu
 
Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.

jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?
[/QU

Hivi kwa nini kila kosa la zinaa linamwendea mwanamke na hali mwanaume ndiye huwa mwanzilishi????

Tukijifanya hatujui chanzo cha tatizo/au kurushiana lawama basi kamwe hatutatua tatizo na ukimwi utaendelea kutufagia. Nimesema hivyo kwa sababu hizi:
1. Tunalia na madangulo lakini Mteja Mkubwa wa hili soko ni wanaume (shame on you!);
2. Huyo mwanamke wa mtu aliyekufa baada ya ngono alikuwa anafanya ngono na nani:rolleyes:, siyo mme wa mtu huyo???
3. Mara zote mume akishikwa ugoni, basi aibu ni ya mwanamke, why???
4. Akifuatwa kimada kuonywa aache tabia yake, atakujibu huyo mumeo ananifuata mwenyewe, tena kwa maringo makuuu anakujibu "Mfungie mumeo ndani"

Myanaume imekuwa kama mizumbukuu, inapelekwa tu, halafu ndo yenyewe ya kwanza kulaumu wanawake! syeeeee!!!

R.I.P mama.
wanaume tuache uzinzi na dunia itatulia, ukichunguza sana chanzo hapa ni mwanaume,mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi amen
 
Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.

jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?
[/QUOTE]

Hivi kwa nini kila kosa la zinaa linamwendea mwanamke na hali mwanaume ndiye huwa mwanzilishi????

Tukijifanya hatujui chanzo cha tatizo/au kurushiana lawama basi kamwe hatutatua tatizo na ukimwi utaendelea kutufagia. Nimesema hivyo kwa sababu hizi:
1. Tunalia na madangulo lakini Mteja Mkubwa wa hili soko ni wanaume (shame on you!);
2. Huyo mwanamke wa mtu aliyekufa baada ya ngono alikuwa anafanya ngono na nani:rolleyes:, siyo mme wa mtu huyo???
3. Mara zote mume akishikwa ugoni, basi aibu ni ya mwanamke, why???
4. Akifuatwa kimada kuonywa aache tabia yake, atakujibu huyo mumeo ananifuata mwenyewe, tena kwa maringo makuuu anakujibu "Mfungie mumeo ndani"

Myanaume imekuwa kama mizumbukuu, inapelekwa tu, halafu ndo yenyewe ya kwanza kulaumu wanawake! syeeeee!!!

R.I.P mama.
Mhh Sitaki kujibishana na wewe ChaMtuKinyesi, ila hoja yako ni kutaka kutulaumu wanaume. Mimi simlaumu yoyote kwa sababu Bible inasema wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu, pindi tunapomkosa Mungu yatupasa tutubu na kuomba neema yake kila wakati. Hii ya kunyoosheana vidole ndio iliyoleta kifo juu ya uso wa nchi. Adam na Eve walipofakamia tundi, Bwana Mungu alipomuuliza Adam inakuaje amikuli tundi alichojibu sio mimi ni huyu mwanamke uliyenipa, na Eve alipoulizwa akajibu sio mimi ni nyoka, ikapitishwa adhabu kwa wana wote wa Adam, mpaka nyoka nae, while Adam angeomba msamaha Mungu ni mwenye huruma angemsamehe, sasa sio namlaumu Adam bali naonyesha jinsi gani sisi binAdam tulivyo wadhaifu. Mungu atupe neema yake ya kujua lipi litupasalo kutenda. Huyo mama kamaliza safari yake hata tumseme mpaka mishipa ya shingo ikakamae haibadilishi kitu,hatujui hukumu yake na sisi sio MaJudge.
 
mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.

Jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?
wake zetu watatulia siku wanaume tukiacha kutongoza wake za watu.
 
mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.

Jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?

wanawake kwa wanaume wanawaka tamaa ya uzinzi.
Suluhu ni kumrudia mungu.
 
dahhh mnanikumbusha MC wangu Lema kule moshi...Mama anatoa maelezo polisi anasema tulifanya raundi ya kwanza ikawa safi raundi ya pili nikabadili style nikapiga magoti ndo nikasikia mwenzangu alalalamika nikajua ni utamu kumbe anakata roho...hahaaaaaa.RIP mama yangu mlokole wa hapo KIBAHA...
 
Ni lini wake zetu watatulia?

Siku mtakapo wapenda, kuwawajali na kuwaheshimu na kuwaonyesha kuwa mnawapenda, kuwajali na kuwaheshimu[/QUOTE]

Jamani mimi siku zote naamini mpaka mwanamke atakapoweza kusema NO ndipo mambo kama haya yataisha!:hug:
 
Back
Top Bottom