Kwa YESU kila Goti litapigwaaaaa
hili halina mjadala.....hata majirani wanalifahamu
Preta waweza badili hiyo avator yako mpenzi?
naomba unisamehe mpenzi kubadilisha hiyo avatar......itakuwa ngumu
Preta,
Kwa maadili yetu ni ngumu mno kuitaja hiyo "nguo ya ndani" let alone kuionyesha hadharani, pleeeeeeeeeeeeease badilisha avatar yako!
Preta,
Kwa maadili yetu ni ngumu mno kuitaja hiyo "nguo ya ndani" let alone kuionyesha hadharani, pleeeeeeeeeeeeease badilisha avatar yako!
Tuna kupenda sana Mummy basi tunakuomba ubadirishe hiyo avatar ya kichupi angalau uweke ya sindiria!!.naomba unisamehe mpenzi kubadilisha hiyo avatar......itakuwa ngumu
Tuna kupenda sana Mummy basi tunakuomba ubadirishe hiyo avatar ya kichupi angalau uweke ya sindiria!!.
Tuna kupenda sana Mummy basi tunakuomba ubadirishe hiyo avatar ya kichupi angalau uweke ya sindiria!!.