Vilazwa
Teh teh teh teh teh
Vilazwa
Hii inabidi kusoma na sintaandika zaidi. Zitto Kabwe una kazi huko kwenu Kigoma.
View attachment 10380
hiki ni kijiwe cha Chadema, kwa hiyo wachadema wanawadhihaki ccm na kadi zao na kauli mbiu yao ya maisha bora kwa kila mtanzania.
Una uhakika? Mbona humu ndani wameshawatoa baru Zitto na Mbowe?
Hiyo picha nimeitoa kwenye Facebook. Au kuileta hapa basi imeshakuwa taabu? Kwa taarifa yako mie nina kadi ya CCM ingawa nilichukua kwa kulazimishwa. Tangu nizaliwe sijawahi kupiga kura. Sasa u-Chadema unaanza wapi? Usinipe Chama chochote Tanzania na siku nikiwa mwanachama basi ntajulisha umma mzima.
Sijasema imekuwa taabu kuleta hii picha, pointi hapa ni kuwa mjini kigoma kuna mvutano mkubwa wa CCM na CHADEMA na kila mahali wanaweka vijembe vyao. Nilichosema na maana ya post yangu ni kuwa watu wa chadema huko kigoma ndio wameandika hili tangazo, kuwadhihaki wana ccm na kadi zao na kauli mbiu yao ya maisha bora kwa kila mtanzania. Sijasema na kumaanisha kwamba wewe CHADEMA au forum hii kijiwe cha CHADEMA. Ukisoma hiyo post yangu hakuna popote naposema au kussugest hicho kitu.
Habri ndion hio. Maumivu ya kichwa huanza pole pole!!!! Huo ni mwanzo ndugu wana mjadala. Na mengi yako njiani yanakuja. Kuna taarifa zisizo rasmi (za kimbea) zinasema kuna mmoja wa wagombea wa CCM jimbo la Kibondo (KIGOMA HUKO HUKO) amekoswakoswa kuuliwa na majambazi feki waliotumwa na mpinzani wake. Mwenye taarifa rasmi (sahihi) tunaomba msaada wa taarifa hizi!!
Wapo pia majambazi halali mkuu?